Natafuta mwanamke Singida mjini 20-30

Natafuta mwanamke Singida mjini 20-30

SuperSami

Member
Joined
Apr 27, 2014
Posts
30
Reaction score
3
Nahitaji mwanamke aliyepo Singida mweny
e miaka 20-30.
Mimi ni mwanaume miaka 36. Aliye tayari aniPM. Please!
 
Mkuu huko desperate kihivyo? Singida mjini sehemu ya kukosa mademu, machangu wote hawa?
 
Nahitaji mwanamke aliyepo Singida mweny
e miaka 20-30.
Mimi ni mwanaume miaka 36. Aliye tayari aniPM. Please!

Uko tayari kufua , kuosha vyombo na kufungua mlango usiku wakati mkeo akitoka matembezini? kama uko tayari ni PM HATA HIVYO NAONA KAMA UMEZEEKA MUZIKI WA SGD HTAUWEZA
 
Kuwa specific, unahitaji wa kazi gani!?
 
Nahitaji mwanamke aliyepo Singida mweny
e miaka 20-30.
Mimi ni mwanaume miaka 36. Aliye tayari aniPM. Please!

Enzi zile wewe unachukua chumba Guest unalala. Usiku unagongewa mlango na mtu "aliyepotea chumba" kama anakufaa utaamua wewe, kama vipi vuta subira utagongewa tena. Labda siku hzi wapo kidigitali zaidi. Na kwa taarifa yako ni mmoja ya mikoa michache ambayo akina dada wa vikoroboi walishindwa kufanya biashara yao. Wakiuza wenyeji walikuwa wanagawa bure!
 
Back
Top Bottom