Wiki tatu kesi bado iko polisi,..nifanyeje?

SuperSami

Member
Apr 27, 2014
30
95
Bosi wangu alikamatwa na Polisi tarehe 28 mwezi May 2019. Akalala mahabusu siku 3 akatoka kwa dhamana. Lakini tangu hapo anaambiwa aripoti polisi kila wiki ila kesi bado haijapelekwa mahakamani hadi leo.
Mtu aliyeshitaki anaidai kampuni na sio mtu binafsi aliyekamatwa,...lakini yeye akaenda kumkamata kiongozi wa kampuni na kusema amejipatia hela kwa njia ya udanganyifu.

Tunatafuta ushauri wa kisheria tufanyeje ili kesi ipelekwe mahakamani ambako ndiko haki hupatikana?
 
EP PRO

JF-Expert Member
Nov 5, 2013
7,574
2,000

Hao polisi wanatengeneza mazingira ya hela.
 
chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
2,413
2,000
Bosi wangu alikamatwa na Polisi tarehe 28 mwezi May 2019. Akalala mahabusu siku 3 akatoka kwa dhamana. Lakini tangu hapo anaambiwa aripoti polisi kila wiki ila kesi bado haijapelekwa mahakamani hadi leo.
Mtu aliyeshitaki anaidai kampuni na sio mtu binafsi aliyekamatwa,...lakini yeye akaenda kumkamata kiongozi wa kampuni na kusema amejipatia hela kwa njia ya udanganyifu.

Tunatafuta ushauri wa kisheria tufanyeje ili kesi ipelekwe mahakamani ambako ndiko haki hupatikana?
kampuni gani aina mwanasheria, unajua kufungua kampuni lazima hiwe imejikamilisha kila idara.hata kama tatizo likitokea inajua jinsi ya kuanzia.
 
maliedo

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
1,363
2,000
kampuni gani aina mwanasheria, unajua kufungua kampuni lazima hiwe imejikamilisha kila idara.hata kama tatizo likitokea inajua jinsi ya kuanzia.
Hakuna sheria kwamba kila kampuni ni lazima iwe na mwanasheria.na kuuliza hapa kutaka kupata mawazo mchanganyiko kutokana na uwepo wa watu mbali mbali
 
KIDUDU

JF-Expert Member
Sep 17, 2012
2,549
2,000
Kuna kitu inaitwa corporate vail responsibility, ... Unakijua? Anyway nenda takukuru kawajulishe, hiyo kesi ilitakiwa kuwa mahakamani, Polisi wanataka kufnanya namna hapo
 
SuperSami

Member
Apr 27, 2014
30
95
Kuna kitu inaitwa corporate vail responsibility, ... Unakijua? Anyway nenda takukuru kawajulishe, hiyo kesi ilitakiwa kuwa mahakamani, Polisi wanataka kufnanya namna hapo
Sina ufahamu wa kina kuhusu corporate veil lakini kidogo najua kuwa kesi ya kampuni lazima ianzie kwanza kushitakiwa/kudaiwa kampuni hadi itakapobainika kuwa kampuni haiwezi ndo mahakama itafanya ku pierce the veil of corporation na kuangalia nani alihusika kufanya labda fraud ndo awajibishwe.

Sasa polisi wameenda mojakwa moja ku pierce veil of corporate. Alichofanya boss aliomba mda ili kampuni iweze kumlipa huyo mtu, na wakaandikiana ahadi ya kuwa kampuni italipa. Lkn mda umeisha alioahidi boss na deni halijalipwa, tulitehemea kesi ikienda mahakamani labda itabadilishwa kutoka jinai iende kwwny madai lkn haipelekwi mahakamani polisi bado wanayo.
Kwa hiyo kumbe nikimwambia boss wangu aende takukuru kesi itapelekwa mahakamani?
 
BEHOLD

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
5,040
2,000
Hiyo ku"pierce vieil " imeingiaje hapo? Acheni utoto. Jikiteni kwenye mada, kuna tatizo la jinai hapo.

Cha kushukuru kapewa dhamana. Amuone mkuu wa kituo apate ufmbuz
 
SuperSami

Member
Apr 27, 2014
30
95
Hiyo ku"pierce vieil " imeingiaje hapo? Acheni utoto. Jikiteni kwenye mada, kuna tatizo la jinai hapo.

Cha kushukuru kapewa dhamana. Amuone mkuu wa kituo apate ufmbuz
Samahani mkuu!
Mkuu wa kituo ndiye anayeamua kesi iende mahakamani au ibaki polisi?
Nadhani ipo sheria ya muda wa kupeleka kesi mahakamani, na huo mda nadhani umezidi ilitakiwa iwe imepelekwa mahakamani bila kujali ni jinai au madai.
Swali linauliza tufanyeje kisheria ili kesi ipelekwe mahakamani? Au ni kusubiri tu hadi polisi watakachoamua?
 
Top Bottom