ambao atupo kwenye ndoa tunanyanyapaliwa mmmh
Ha! Masai Dada kumbe na wewe bado! Basi tuoane halafu tuweke kumbukumbu hapa hapa ndo tumekutania tukichangia thread ya wenye ndoa.
yuko mnyamwezi wangu wewe
hivi unazani kuoa ni uzi kila mtu anaeza post?
hivi kumbe?
Aisee nimeipenda hiiWangu tulikutana airport nikiwa mfanyakazi wa hapo miaka mingi iliyopita na yy alikuwa anasafiri akaniomba namba ya simu nikamjibu kwa jeuri "nina watu kama mia wanataka namba ya simu na sijawapa so subiri zamu yako itakapofika..alinyweaa baada ya jibu langu
But baada ya siku 3 akanipigia simu kwamba alinunua namba yangu toka kwa mmoja wa staff mwwnzangu
Baada ya hapo mwanzo wa mawasiliano mpk ndoaaa