Acha kujisumbua broo....
Hayo malalamiko yangekuwa yanasikilizwa kila mtu angekuwa anatoa anayoyaona. We unasema hayo!!! Njoo kwenye usafiri wa MWENDOKASI uone walemavu wanavyoahirisha safari, wajawazito wanavyonusurika kujifungua, wazee wanavyotamani kufa, wanafunzi na wafanyakazi wanavyotamani...
Mtoa mada huna point za msingi, Mungu atatengenezaje chenye nguvu zaidi yake wakati ye ndo mwenye nguvu kuliko vyote. Labda atengeneze chenye nguvu sawa na yeye
Sent using Jamii Forums mobile app
Dunia ni tufe, wakiichimba mojamoja kwa moja kwenda chini wanatokezea upande wa pili(Either EAST-WEST or SOUTH-NORTH) hapo linatokea tundu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndomana sitegemei mazuri yoyote licha ya kuwa nchi ina miradi mingi. Bora hizo hela wangetuachia wananchi tuishi nazo tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Bongo ni Bongo tu, hakuna aliyetegemea kwenye Mwendokasi tungepata tabu kama tunayoipata. So, nakushauri usijipandishe EMOTION kwa kudhani hiyo miradi itakuwa bora kama unavyodhani. Kwa anayekumbuka mabasi ya Mwendokasi yalianza vizuri sana ila angalia kinachotokea sasa......kama hawaoni vile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.