Omnipotence paradox na ukomo wa nguvu za Mungu

Omnipotence paradox na ukomo wa nguvu za Mungu

Uko vzr mkuu umeeleza vzr sana..
Usijali Mkuu.
Mungu huwa haelezeki kwa Fikra za Kibinadamu.

Hadi Yeye ajitambulishe kwetu La sivyo asingejitambulisha tusingemwelewa kabisa.
Kila tunachoweza kukijua Kinamtii Mungu, kiwe Hai au bila Uhai.
Ona jinsi Yesu Kristo alivyouamrisha Upepo nao Ukamtii,
alivyoamrisha Dhoruba nayo Ikamtii,
alivyoulaani Mtini nao Ukaogopa na Kukauka Kabisa na Kufa.
Alivyoyaamrisha Maji Yambebe na Akatemea juu yake (hayo maji)
Alivyo iamrisha Nguvu ya Gravity imnyanyue hadi juu Mawinguni Ikamtii na Kumpaisha Akiwa katika Hali ya Uzito wa Mwili.
Nakadhalika na kadhalika.

Swali hilo lililoulizwa, kuhoji Uweza wa Mungu huwa Linajengwa sana na Shetani Lucifer.
Lengo la Lucifer kuuliza swali hilo ni kuwafanya watu wawe na mashaka na uweza wa Mungu wakati yeye pia naye hajui Uweza wote wa Mungu Aliyemuumba,
na ndicho kilichomfanya Lucifer awe na Kiburi na kutaka naye aabudiwe kama Mungu.
Laiti angejua mwanzo Uweza wa Mungu angelikuwa mpole na mtiifu kwake.
Maswali kama haya pia huwa wanaulizwa watu wanaojiunga na Jamii za Siri za Kishetani ili wasimwogope Mungu.
Kama umesikia Secret Societies, Illuminant, Skull of Bones nk.

Kila kitu kinamtii Mungu.

Nadhani Umenielewa kwanini nimekwambia hivyo.
 
The best topic ever kudos Einstein
May be Sir,

Ni lazima watu wamjue Mungu ktk Kiwango fulani ili waweze sio tu kumpa heshima yake bali wawe na matumaini kwake na hasa kwa zile ahadi ambazo Mungu anawaahidi na kuzifanya kila siku.

Mungu angekuwa dhaifu watu wangekosa tumaini juu ya hatima yao baada ya maisha ya duniani, na hivyo kukosa kumwamini.
Hivyo basi Makanisa na Misikiti yasingekuwepo kabisa. Neno Imani lisingekuwa na mashiko katika binadamu.

Kuhoji Uwezo, Uwepo, na Ujuzi wa Mungu sio jambo baya kama kuhoji huko kutakuwa na nia ya kujifunza au kutafuta uthibitisho.

Katika hojaji ya Mungu maneno ya kuuliza ni yale tu yenye kutathmini Uweza wake kwa uelewa wa kibinadamu na sio maneno yanayo hoji Udhaifu Wake.

Mfano
Ukienda kufanya utafiti kwa wanaume tu, kama ndio Sample yako, huwezi ukaweka kwenye hojaji Swali linalosema.

Ulishawahi kuwa mjamzito ?

Swali hili halimhusu mwanamume na halina Logic kwake.

Kwani kamwe Mwanamume hawezi kuwa mjamzito.

Ndivyo ilivyo kwa Mungu.
Maswali kama

Hawezi?
Hayupo ?
Hajui ?

Hayana mantiki katika Hojaji ya Mungu kwani kama Nadharia zinavyo eleza kuwa.
Mungu ni

Omnipotence=Muweza wa Ote
Omnipresence = Yupo kote
Omniscience = Mjuzi wa yote
 
Nakubaliana na wewe kuna vitu Mungu hawezi kabisa kwa mfano kusema uongo hilo haliwezi
 
Zaburi 14:1

Asiye na akili amesema katika moyo wake:
“Hakuna Yehova.”
Wametenda kwa uharibifu, wametenda kwa njia yenye kuchukiza katika shughuli zao.
Hakuna yeyote anayefanya mema.
 
Ukuu Wa Mungu hauchunguziki , Mungu hajijaribu na hajaribiwi.

Kinyume nahapo ,,niendelee kuamini maandiko ,, * mwanadamu kila siku anawaza upumbavu*
 
Nakubaliana na wewe kuna vitu Mungu hawezi kabisa kwa mfano kusema uongo hilo haliwezi
Mungu sio Mwanadamu hadi aseme Uwongo.
Tatizo liko sehemu ndogo tu kuwa.
Mnataka kumfananisha Mungu na Mwanadamu, hivyo kutaka aishi kama Mwanadamu.
Mungu ni Mwema kila siku, na hana tabia za Uovu za kibinadamu kama za Kuongopa.
Mungu ana sifa zake za peke yake, na asifananishwe na sifa za kibinadamu.

Wana Masiko lakini hawasikii, wana Macho lakini hawaoni, wana Akili lakini hawaelewi, wana Busara lakini hawajifunzi.
Kuuliza Sio Ujinga.
 
[IMG=]http://eennlliighhtteenn.weebly.com/uploads/1/4/8/2/14824124/4574173.jpg[/IMG]

Omnipotence

Limetokana na maneno mawili ya kigiriki "omni na potens " ambayo yaana maanisha mwenye nguvu zote

Moja kati ya maswali ambayo ukimuuliza muumini wa dini yeyote ile mkristo au muislamu kuwa "Je, nguvu za Mungu wako zina ukomo?".

Jibu ambalo atakujibu ni hili, "Nguvu za Mungu wangu hazina ukomo".

Lakini fikiria hili; karne ya 12 mwanafalsafa maarufu wa wakati ule Averroes alisema haya kuhusu omnipotence;

"Can deity create a rock so heavy that even the deity itself cannot lift it? So then the rock is now unliftable limiting the deity power, but if not then the deity is not omnipotent because it cannot create that rock.

Hii ni sawa na kusema hivi "Je, katika sheria hizi hizi na Euclidean geometry, Mungu anaweza kutengeneza pembetatu ambayo jumla ya angle zake siyo 180?

Au Mungu anaweza kutengeneza gereza ambalo lina ulinzi mkali kiasi kwamba hata yeye mwenyewe hawezi kutoroka?
Aiseee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ishu hapa sio kutishwa na kitu ulichokiumba,

Hapa tunataka Mungu athibitishe kuwa yeye ni muweza wa kila kitu,

Unaweza kuumba mauti ambayo nguvu zake hazizidi nguvu zako na kwahiyo isikutishe,

Lakini je unaweza kuumba mauti yenye nguvu kubwa kuliko wewe mwenyewe?

Na kama ukiweza basi mauti hiyo itakutawala kwa kuwa sasa ina nguvu kuliko wewe na wewe sasa hufai kuitwa Mungu(Muweza wa kila kitu).

Na kama ukishindwa kuumba mauti hiyo yenye nguvu kuliko wewe basi hata hapa hufai kuitwa mungu(Muumbaji wa kila kitu)

Kwasababu umeshindwa kuumba.
Hapa unamtwisha Mungu mzigo mzito
 
Hivi huyo Mungu yupo kweli?
Afadhar umeuliza. Haijalishi (M)mungu yup waulizia. Mana watu weng hawatak kwanza tupate concesus kama yupo au la. Ikibid tukubaliane kutokukubaliana. Inafkia hatua kila kanun ya kuishi inarefer Mungu ilihali hatujawai kukubaliana uwepo wenyewe. Ndo mana napenda zaid kuendesha mambo kwa kanun ya USILOTAKA KUFANYIWA USIMFANYIE MWENZAKO. BAAAS.
 
Afadhar umeuliza. Mana watu weng hawatak kwanza tupate concesus kama yupo au la. Ikibid tukubaliane kutokukubaliana. Inafkia hatua kila kanun ya kuishi inarefer Mungu ilihali hatujawai kukubaliana uwepo wenyewe.
Sasa mbona hujatoa jibu?

Sent using unknown device
 
Mnapima nguvu za Mungu aliyewaleta dunia toka kwenye tumbo za mama zenu pindi mkiwa dhaifu na akawapa nguvu mkawa wenye nguvu za kujitambua.
 
Atokee wapi?
Usiseme atekee wapi..mungu yupo.
Uwepo wa shetani mnaamini upo hata Kama hajamuina.
Lakini uwepo wa mungu hamuamini.
Wenzenu illuminat Wana amini uwepo wa mungu lakini kwa mtindo mwengine.
Ni mbaya sana kujitia ubahau wa kusema mungu hayupo NIMBAYA SANA ANUNAKI.
kwa jinsi ulimwengu ulivyo huwezi ukawa umetokea kwa bahati tumia akili yako vizuri.
Wanao amini uwepo wa mungu hakika Wana akili.
 
[IMG=]http://eennlliighhtteenn.weebly.com/uploads/1/4/8/2/14824124/4574173.jpg[/IMG]

Omnipotence

Limetokana na maneno mawili ya kigiriki "omni na potens " ambayo yaana maanisha mwenye nguvu zote

Moja kati ya maswali ambayo ukimuuliza muumini wa dini yeyote ile mkristo au muislamu kuwa "Je, nguvu za Mungu wako zina ukomo?".

Jibu ambalo atakujibu ni hili, "Nguvu za Mungu wangu hazina ukomo".

Lakini fikiria hili; karne ya 12 mwanafalsafa maarufu wa wakati ule Averroes alisema haya kuhusu omnipotence;

"Can deity create a rock so heavy that even the deity itself cannot lift it? So then the rock is now unliftable limiting the deity power, but if not then the deity is not omnipotent because it cannot create that rock.

Hii ni sawa na kusema hivi "Je, katika sheria hizi hizi na Euclidean geometry, Mungu anaweza kutengeneza pembetatu ambayo jumla ya angle zake siyo 180?

Au Mungu anaweza kutengeneza gereza ambalo lina ulinzi mkali kiasi kwamba hata yeye mwenyewe hawezi kutoroka?
Yule mzee wa pembe tatu siku izi simuoni.

Sasa kiongozi, kuna kitu kimoja tu ambacho unashindwa kukielewa ama sijui mnakuwa hamtaki kuelewa kujitia hamnazo tu.

nazungumzia upande wetu waislam, wengine wataongea wenyewe;

Kwani mungu we unamchukuliaje? ni Kiumbe?
 
We ndo hueleweki kabisa
Hz pumzi jaman zisiwadanganye...hta kma una PHD zko kichwan bado wewe kiumbe dhaifu sana ambaye hta Mbu anakusumbua huna uwezo wa kumjadili Mungu Mumbaji wa mbingu na dunia na ukapata jibu,wewe amekuumba lkn kmbka wewe ufahamu wako una ukomo na hpo mtajadili na hakutakuwa na jibu.Hebu jijadili wewe mwenyewe kwanza na ujadili viumbe unavyoviona kwa macho yko then ndo utaona hyo Mungu yuko vp.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom