Death and immortality; Is there life after death?

Waga najiulizaga sana, hivi aliyekufa mwaka 2 or let say mwaka 100 atafufuliwa siku sawa na aliyekufa mwaka 2000.? Au ni kamba tu tunalishana

Sent using Jamii Forums mobile app

Resurrection ni uongo ulio wazi kabisa ila imekaa kiimani zaidi.Nime hoji hapo juu hakuna aliyejaribu kupangua hizo hoja ili kutetea imani zao kuhusu ufufuo siku ya mwisho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kifo ni utengano wa mwili na Roho sasa ili kujua kwamba tunakufa basi inatubidi kujitambua sisi mwili au Roho? Uwepo wetu katika ulimwengu huu unaanzia siku Baba na Mama walipotunga mimba na na hiyo mimba tukapa nguvu ya Roho ni matokeo ya Utatu mtakatifu, yaani kwa njia ya Baba na Mama na Roho mtakatifu. Mwili unaanzia pale, yaani siku iliyotungwa mimba lakini Roho ilikuwepo. Mwili unaumbwa kwa kula, kuvuta hewa na kunywa, unabadilika miezi tisa tumboni kwa mama mpaka unazaliwa ukiwa tumboni kwa unalishwa kwa kondo la mama, baada ya kuzaliwa mwili hujitegemea kula, kunywa, na kuvuta hewa, kwa maana nyingine mwili wa binadamu uko responsible kujiumba na kujitunza. Mwili unabadilika unapitia stages ya utoto, ujana na unazeeka. Kama ilivyo binadamu kwa macho au sense zake hawezi kuiona au kuhisi Roho kama vile kwa kutumia senses zetu hatuwezi kumuona wala kumuhisi Mungu, ( tume umwa kwa mfano wa mungu). Sasa ni wajibu binafsi kujua kama wewe ni Mwili basi unakufa, lakini kama ni Roho basi hufi.

Kimwili hakuna life after death tuna decompose kuwa udongo. Kama turudisha kule tulikotoa wakati tunaumba miili yetu kupitia chakula kilicho oteshwa ardhini, kumbuka hata wanyama na samaki wakula kutoka kwenye udongo wa ardhini.

Kiroho hatufi tunapoteza sense ya kutambua matendo yenye ratibiwa kwa kwa Muda na kwa Nafasi (Time and Space) yaani akili. Tunarudi kuwa kwenye state of moment, mwanzo unakutana na mwisho. Alfa na Omega.

I am responsible to what I wrote, I am the source.

Najua kuna re-birth not Resurrection. Roho inazaliwa kwenye mwili mngine.

Kama unapobadilisha nguo na viatu kwa sababu zako mbalimbali ndivyo Roho inavyotambua umihimu wa kuzaliwa tena ilikukamilisha malengo ya kuwepo dunia, inatufa mwili na kuzaliwa tena kwa nadhili ya kujutia na hata kujiadhibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za masiku ma GT.

Is there life after death?
Hili ni swali ambalo pengine tumekuwa tukijiuliza lakini kwa bahati mbaya haujapata conclusion,hivyo naliweka javni hapa kwa GT ili kulichambua na ikiwezekana kupata ukweli.

Kabla nitaweka mkasa mfupi wa kweli kabisa unaonihusu.
Wiki iliyopita nilipata taarifa ya msiba wa Baba yangu mkubwa hivyo ilinilazimu huko nilipokuwa(mkoani) nirudi ili nishiriki katika ibada hii ya mazishi.Nilipofika nyumbani ambako msiba ulikuwepo nilikabidhiwa jukumu ambalo kwangu lilikuwa gumu sana na hii ni kwa sababu ni mara yangu ya kwanza.Nilitakiwa niulinde mwili wa marehemu kwa wakati wa usiku hadi asubuhi bila mimi mlinzi kulala hata lepe la usingizi.Unajuwa kutokana na stori nyingi sana zinazohusu maiti zina ogofya nilipata na woga usio na mfano ile siku sitaweza isahau katika maisha yangu.
Mwili wa marehem Baba yangu mkubwa ulikuwa pembeni na mimi nilikaa ubavuni mwake kwa usiku huu,lakini kilichonitisha zaidi umeme haukuwepo kulikuwa na giza la kutisha.
Lakini nilijikaza hadi asubuhi,kulipokucha tuliendelea na shughuli za mazishi,nashukuru tulizika salama kabisa bila tatizo lolote lile.
Baada ya mazishi yale nilijiuliza maswali mengi sana ambayo leo niyaweka kwenu tujadili kwa mapana yake.
Wakati tunazika yule kiongozi wa dini alitoa darsa fupi pale msibani kuwa huyu marehemu ipo siku atafufuliwa na mwili mpya ili kulipwa matendo yake aliyofanya akiwa duniani.Nilipatwa na mshtuko sana inakuwaje mwili ambao utaliwa na funza na kubaki mifupa ukavalishwa tena nyama mpya,je huyo mtu akifufuliwa atakuwa ni yuleyule wa duniani mwenye malengo,akili,mind zilezile?

Ndipo nilipoamua kuandika mada hii.

Death and immortality.
Is there life after death?
Death is the permanent cessation of all biological function that sustain a living organism while
Immortality involves freedom from death.

Ubongo ndio unaratibu shughuli zote za mwili hivyo kwa ufahamu wangu pindi mtu anapofariki ubongo unakuwa umeshindwa kufanya kazi na mwili mtu nakuwa amepoteza maisha.Kufa kwa ubongo ndipo unapelekea sehemu zote za mwili/viungo kufa.
Hivyo kufa ni kitendo cha ubongo kushindwa kufanya kazi.
Conscious awareness tuliyonayo inatokana na ubongo,Hii consciousnesses ndio huu uhai tulionao ambao huletwa na ubongo.Pindi ubongo unapokufa/kushindwa kufanya kazi kitendo hiki tunaita kifo.

Kama mtu akifa hawezi tena kuwa hai tena re~creation kwa sababu ubongo unakuwa umekufa na kuoza tayari.

Lakini kuna nadharia kuwa tunapokufa tutafufuliwa katika mwili mpya(resurrection) God re-creation.
Katika nadharia hii based kwenye mwili,nafasi,roho.Kuwa kifo ni kile kitendo cha mwili na roho kutengana,hivyo mwili unabaki hapahapa duniani tunazika,kochoma it depends na mila na tamaduni za jamii husika lakini roho inaenda kwa Mungu.So binadam ni divine energy(roho) hivyo roho inaishi milele haifi immorty.

Roho inapotengana na mwili inaenda kuishi kwa Mungu ikisubiri mwili wake siku ya ufufuo(resurrection) ili ilipwe kwa matendo yake ya kule duniani.
Katika nadharia hii Mungu ndiye muumba na yeye ndiye atakaye urudisha uhai tena kwa viumbe wake kwa kuumba tena.

Lakini nadharia hii imejaa maswali mengi ambayo hayana majibu.
Maswali hayo ni kama vile
a)Soul na Ubongo upi unaratibu consciousnesses katika mwili wa binadam?
b)kama jibu ni ubongo,Je mwili unapotengana na roho na roho kwenda kwa Mungu mwili(ubongo wake)kubaki duniani hivyo kuoza na kupotea.Umbaji huu wa pili utaweza kumfufua binadamu yule yule wa awali?
Ebu angalia~Ili mtu A awe ni sawa mtu B lazima watu hawa wafanane vilevile katika malengo,ufahamu,mindset,mitazamo yao.
Mambo hayo hapo juu huongozwa na brain(ubongo).
c)Je wakati mwili upo ukiharibika hapa duniani roho itakuwa inafanya nini huko ilipo?
d)Roho inaweza kuishi bila mwili?
,kama inaweza kwanini Mungu ajihangaishe kuumba tena viumbe upya wakati roho inajitosheleza.
e)Roho na mwili kipi kilianza kabla?

Conclusion.From above arguments kifo ni kifo hakuna maisha mengine baada ya kufa hakuna.
Karibuni.......

iPhone 7plus
jiulize pia ulikuwa wapi kabla hujazaliwa?Mambo wengine yako nje ya uwezo wa fikra zetu binadamu.Mfano mkoa wa Dsm kwa sisimizi ni sawa na ulimwengu mzima kwa binadamu.Kuna mambo hatutapata majibu kamwe hadi mwisho wa dunia,kwa maana yako nje ya uwezo wa kifikra wa binadamu.
 
Kifo ni utengano wa mwili na Roho sasa ili kujua kwamba tunakufa basi inatubidi kujitambua sisi mwili au Roho? Uwepo wetu katika ulimwengu huu unaanzia siku Baba na Mama walipotunga mimba na na hiyo mimba tukapa nguvu ya Roho ni matokeo ya Utatu mtakatifu, yaani kwa njia ya Baba na Mama na Roho mtakatifu. Mwili unaanzia pale, yaani siku iliyotungwa mimba lakini Roho ilikuwepo. Mwili unaumbwa kwa kula, kuvuta hewa na kunywa, unabadilika miezi tisa tumboni kwa mama mpaka unazaliwa ukiwa tumboni kwa unalishwa kwa kondo la mama, baada ya kuzaliwa mwili hujitegemea kula, kunywa, na kuvuta hewa, kwa maana nyingine mwili wa binadamu uko responsible kujiumba na kujitunza. Mwili unabadilika unapitia stages ya utoto, ujana na unazeeka. Kama ilivyo binadamu kwa macho au sense zake hawezi kuiona au kuhisi Roho kama vile kwa kutumia senses zetu hatuwezi kumuona wala kumuhisi Mungu, ( tume umwa kwa mfano wa mungu). Sasa ni wajibu binafsi kujua kama wewe ni Mwili basi unakufa, lakini kama ni Roho basi hufi.

Kimwili hakuna life after death tuna decompose kuwa udongo. Kama turudisha kule tulikotoa wakati tunaumba miili yetu kupitia chakula kilicho oteshwa ardhini, kumbuka hata wanyama na samaki wakula kutoka kwenye udongo wa ardhini.

Kiroho hatufi tunapoteza sense ya kutambua matendo yenye ratibiwa kwa kwa Muda na kwa Nafasi (Time and Space) yaani akili. Tunarudi kuwa kwenye state of moment, mwanzo unakutana na mwisho. Alfa na Omega.

I am responsible to what I wrote, I am the source.

Sent using Jamii Forums mobile app

Umejitahidi kuchambua kwa mtazamo wako japo haujajibu hayo maswali kuhusu roho.
Roho inaweza kuishi yenyewe bila mwili

Sio mtazamo wangu ndio ukweli. Roho iko kamili ila haitambui ukamilifu wake mpaka iwe kwenye mwili. Kupitia kuzaliwa ndani ya Mwili, Roho inajijua kuwa ndio chanzo cha kila kitu, iko na mungu na ipamoja na Mungu, inapata utukufu wake na ukuu wake. Inakuwa ENLIGHTEMENT au awaken. Inakuwa knowledgable sio ignorant tena, inakuwa na uwezo kuchagua kuwepo kwenye mwili au la.

Ignorant iko kwenye dimension ya Time na Space, ukiondoa Time na Space, mwanzo unkutana na mwisho, unakuta hamna tofauti ya ignorant na enlighten geing all they become together with God.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mujibu wa vitabu vya dini hasa Qurani inasema ADam alimuumba kwa udongo tu kisha akampulizia roho.

Hivi kama alimuumba kwa udongo na akawa mtu inaweza ikashindikana kweli kutumia uwezo ule ule kuwafufua watu wakiwa wanaroho na miili yao mkuu?

Kwa mujibu wa kitabu changu ni kwamba binadamu siku ya kiama atakuwa na akili zile zile lakini huko atakuwa kama amefanya mabaya atakuwa anajutia tu wala hatowaza pbe siku hiyo.itakuwa ni siku ya mshangao kwa kila mtu.ambao waliikanusha watasema kumbe kweli ipoooo.

Na waliokuwa wanatenda mema watapata kustiriwa na Mungu.

Mawazo atakuwa nayo lskini sio mawazo ya kuwaza ujinga na maasi atakuwa anajuta kama ni miovu.
We umejuaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi unafikiri semen in just maji, mule kuna cells(sperm) ambazo huenda kurutubisha yai la kike hivyo kupatikana mtoto.

Na hii sio unique kwa binadamu tu hata kwa wanyama.

Na si lazima iwe kwenye tumbo la mwanamke kwa sababu wanasayansi wameweza kufanya huo muunganiko wa sperm na egg in laboratory.

In all account science keeps winning over this mythical stories that's why there are no ambulance in mosques or churches.
Sasa ndo umeongea nini mkuu.

Bora ungekuwa kimya tu utunze hishma ya akili yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu pia ukumbuke sio watu wote wakifa wanaoza inategemea na matendo yako hapa duniani kuna watu Mwenyezi Mungu ameharamisha udongo usiozeshe mili yao mpk siku ya hukumu mfano yupo firauni wa Misri japo hakuzikwa ila ajaoza na wala hanuki pia mwaka jana Indonesia kulikua na upanuzi wa barabara so ikabidi makaburi kufukuliwa basi miongoni mwa makaburi yaliofukuliwa lilikua kaburi ya Imaam wa msikiti ambaye alifariki miaka kumi iliyopita lakini alikua kama ndo kazikwa leo leo bimana alikuwa bado mwili wa moto, namalizia mambo haya yanategemea sn na imaan yako jinsi inavyokutuma, na mapokeo yake. kuna kisa cha watu wa pangoni ambao walikuwa saba waliweza kulala miaka 309 bila kufa wala kuzeeka walipoamka walijikuta kama wamelala dakika tu kisa kilitokea kostantinopoo Uturuki ya leo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe mwili wa Faraoh kutokuoza sio kwa sababu Allah kaamua Bali zile ni dawa maalum walikuwa wanapakwa wale mummies.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jiulize pia ulikuwa wapi kabla hujazaliwa?Mambo wengine yako nje ya uwezo wa fikra zetu binadamu.Mfano mkoa wa Dsm kwa sisimizi ni sawa na ulimwengu mzima kwa binadamu.Kuna mambo hatutapata majibu kamwe hadi mwisho wa dunia,kwa maana yako nje ya uwezo wa kifikra wa binadamu.
Wewe huo uwezo wa kujua kwamba mambo mwengine yapo nje ya uwezo watu binadamu umeupata wapi? Nyie ndio mnaamini kwamba kuna watu maalum ambao Mungu kawaumba kwa ajili ya kuwakilisha mawazo yao kwa ajili ya wengine, kamba,tupu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jiulize pia ulikuwa wapi kabla hujazaliwa?Mambo wengine yako nje ya uwezo wa fikra zetu binadamu.Mfano mkoa wa Dsm kwa sisimizi ni sawa na ulimwengu mzima kwa binadamu.Kuna mambo hatutapata majibu kamwe hadi mwisho wa dunia,kwa maana yako nje ya uwezo wa kifikra wa binadamu.

Usizingue fikra zako.Binadamu tuna maarifa ili tuyatawale mazingira yetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binadamu anauwezo mkubwa sana, ila anaelekeza nguvu na maarifa seheme isiyo sahihi? MF ni kama hii uliosema DSM kwa sisimizi ni kama ulimwengu mzima. Binadamu anaelekeza nguvu kubwa kutaka kujua vitu vilivyo mzunguka kuliko kujijua mwenyewe. Kumbuka asili ya vitu vyote ni moja tuu ambayo pia ndio asili ya binadamu. Binadamu akijua asili yake atajua asili ya kila kitu. Badala ya kuhangaika kujua tawi, majani na matunda ya mti atajua ni mbegu iliyooteshwa ardhini.

Kila ukionacho, ukisikiacho, ladha ya ukilacho tafsiri yake iko ndani yako. Tuna elimu kubwa sana ndani yetu ilatumeshindwa kuifikia. Hii Dunia ipo kwa sababu wewe upo, kinyume ya hapo Dunia haipo. Majibu ya mambo mengi yapo ndani tunatembea nayo, tunalala nayo, ktunaishi nayo. Inahitaji mwanzo na mwanzo ni kutafuta jibu la maswali yafuatayo;

1. Kwa nini upo hapa Duniani? Kufanya nini hasa?
2. Sababu ulizozania, ua ulizo ambiwa je zinamashiko?
3. Kama zina mashiko kwanini unaogopa kufa? Ilihali ukijua kuwa lazima utakufa, kulikuwa na hajagani ya uwepo wako wa wastani wa miaka 100 wakati dunia iko kwa million ya miaka? Ni kama nukta moja ya kuwa hai kwenye nukta billions
4. Popote uwapo utakuta kila kitu kina sababu ya uwepo wake, kuanzia na posensions zako, ulivimili kwa sababu maalumu, miti, majani, mvua, maji vyote utakuta kwa ajiri ya kusaidia wewe uishi, lakini wewe je? Unaishi kwa sababubu gani?

Maswali haya ni ufunguo wa tafakuli muhimu ndani yetu na upelekea mwanzo wa kujitambua na hatimaye kutambua ukweli wa sisi na maumbile mengine yaliotuzinguka na muumba wake.
jiulize pia ulikuwa wapi kabla hujazaliwa?Mambo wengine yako nje ya uwezo wa fikra zetu binadamu.Mfano mkoa wa Dsm kwa sisimizi ni sawa na ulimwengu mzima kwa binadamu.Kuna mambo hatutapata majibu kamwe hadi mwisho wa dunia,kwa maana yako nje ya uwezo wa kifikra wa binadamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maisha badala ya kifo yapo..mfano mzuri marekani kunajamaa aliishi muda mwingi akiwa na ubongo mfu(brain dead) alivyopona akaja kusimulia mambo aliokua ameyaona (alisema ni Kama ndoto ya usiku mmoja)
Ukizungumzia ubongo ni device inayodanganya (Fanya pumbao) kwa nafsi ama kwa ajili ya kufafanua
Mfano binti anapita mbele ya kiranga na mshana jr... Kiranga atasema binti wa kawaida (sio mrembo) but mshana atasema ni mrembo hadi atatangaza ndoa..
Hiyo ndio kazi ya ubongo kubendi bendi reality.
Na ndo mana mungu anasema dini ya hakki ni uislam...hakusema dini ya kweli ni uislam.
Nafsi ni mixture ya roho na mwili ulionao eidha mwili wa duniani au akhera
Ndo maana mungu akasema Kila nafsi itaonja umauti.
ROHO ni..........
speaking of ROHO hakuna jini ama mwanadamu anajua nini maana ya roho.
Watazunguka weeeeee wataishia kufananisha roho na nafsi Mara sijui subconscious mind(choo chakike)
NIMEPENDA maswali yako kwa sababu ni mazito na wwe unabidii ya kupata ujuzi juu ya ulio yauliza.
Maisha badala ya kifo yapo..haiwezekani goma lizimike tuu hivihivi afu hakuna kinachoendelea.
Mungu hakusema ila waisilamu tunasema Mungu alisema
 
Habari za masiku ma GT.

Is there life after death?
Hili ni swali ambalo pengine tumekuwa tukijiuliza lakini kwa bahati mbaya haujapata conclusion,hivyo naliweka javni hapa kwa GT ili kulichambua na ikiwezekana kupata ukweli.

Kabla nitaweka mkasa mfupi wa kweli kabisa unaonihusu.
Wiki iliyopita nilipata taarifa ya msiba wa Baba yangu mkubwa hivyo ilinilazimu huko nilipokuwa(mkoani) nirudi ili nishiriki katika ibada hii ya mazishi.Nilipofika nyumbani ambako msiba ulikuwepo nilikabidhiwa jukumu ambalo kwangu lilikuwa gumu sana na hii ni kwa sababu ni mara yangu ya kwanza.Nilitakiwa niulinde mwili wa marehemu kwa wakati wa usiku hadi asubuhi bila mimi mlinzi kulala hata lepe la usingizi.Unajuwa kutokana na stori nyingi sana zinazohusu maiti zina ogofya nilipata na woga usio na mfano ile siku sitaweza isahau katika maisha yangu.
Mwili wa marehem Baba yangu mkubwa ulikuwa pembeni na mimi nilikaa ubavuni mwake kwa usiku huu,lakini kilichonitisha zaidi umeme haukuwepo kulikuwa na giza la kutisha.
Lakini nilijikaza hadi asubuhi,kulipokucha tuliendelea na shughuli za mazishi,nashukuru tulizika salama kabisa bila tatizo lolote lile.
Baada ya mazishi yale nilijiuliza maswali mengi sana ambayo leo niyaweka kwenu tujadili kwa mapana yake.
Wakati tunazika yule kiongozi wa dini alitoa darsa fupi pale msibani kuwa huyu marehemu ipo siku atafufuliwa na mwili mpya ili kulipwa matendo yake aliyofanya akiwa duniani.Nilipatwa na mshtuko sana inakuwaje mwili ambao utaliwa na funza na kubaki mifupa ukavalishwa tena nyama mpya,je huyo mtu akifufuliwa atakuwa ni yuleyule wa duniani mwenye malengo,akili,mind zilezile?

Ndipo nilipoamua kuandika mada hii.

Death and immortality.
Is there life after death?
Death is the permanent cessation of all biological function that sustain a living organism while
Immortality involves freedom from death.

Ubongo ndio unaratibu shughuli zote za mwili hivyo kwa ufahamu wangu pindi mtu anapofariki ubongo unakuwa umeshindwa kufanya kazi na mwili mtu nakuwa amepoteza maisha.Kufa kwa ubongo ndipo unapelekea sehemu zote za mwili/viungo kufa.
Hivyo kufa ni kitendo cha ubongo kushindwa kufanya kazi.
Conscious awareness tuliyonayo inatokana na ubongo,Hii consciousnesses ndio huu uhai tulionao ambao huletwa na ubongo.Pindi ubongo unapokufa/kushindwa kufanya kazi kitendo hiki tunaita kifo.

Kama mtu akifa hawezi tena kuwa hai tena re~creation kwa sababu ubongo unakuwa umekufa na kuoza tayari.

Lakini kuna nadharia kuwa tunapokufa tutafufuliwa katika mwili mpya(resurrection) God re-creation.
Katika nadharia hii based kwenye mwili,nafasi,roho.Kuwa kifo ni kile kitendo cha mwili na roho kutengana,hivyo mwili unabaki hapahapa duniani tunazika,kochoma it depends na mila na tamaduni za jamii husika lakini roho inaenda kwa Mungu.So binadam ni divine energy(roho) hivyo roho inaishi milele haifi immorty.

Roho inapotengana na mwili inaenda kuishi kwa Mungu ikisubiri mwili wake siku ya ufufuo(resurrection) ili ilipwe kwa matendo yake ya kule duniani.
Katika nadharia hii Mungu ndiye muumba na yeye ndiye atakaye urudisha uhai tena kwa viumbe wake kwa kuumba tena.

Lakini nadharia hii imejaa maswali mengi ambayo hayana majibu.
Maswali hayo ni kama vile
a)Soul na Ubongo upi unaratibu consciousnesses katika mwili wa binadam?
b)kama jibu ni ubongo,Je mwili unapotengana na roho na roho kwenda kwa Mungu mwili(ubongo wake)kubaki duniani hivyo kuoza na kupotea.Umbaji huu wa pili utaweza kumfufua binadamu yule yule wa awali?
Ebu angalia~Ili mtu A awe ni sawa mtu B lazima watu hawa wafanane vilevile katika malengo,ufahamu,mindset,mitazamo yao.
Mambo hayo hapo juu huongozwa na brain(ubongo).
c)Je wakati mwili upo ukiharibika hapa duniani roho itakuwa inafanya nini huko ilipo?
d)Roho inaweza kuishi bila mwili?
,kama inaweza kwanini Mungu ajihangaishe kuumba tena viumbe upya wakati roho inajitosheleza.
e)Roho na mwili kipi kilianza kabla?

Conclusion.From above arguments kifo ni kifo hakuna maisha mengine baada ya kufa hakuna.
Karibuni.......

iPhone 7plus
What if soul ndo inaratibu consciousness
 
very rare people will be able to understand what you are trying to say.
Binadamu anauwezo mkubwa sana, ila anaelekeza nguvu na maarifa seheme isiyo sahihi? MF ni kama hii uliosema DSM kwa sisimizi ni kama ulimwengu mzima. Binadamu anaelekeza nguvu kubwa kutaka kujua vitu vilivyo mzunguka kuliko kujijua mwenyewe. Kumbuka asili ya vitu vyote ni moja tuu ambayo pia ndio asili ya binadamu. Binadamu akijua asili yake atajua asili ya kila kitu. Badala ya kuhangaika kujua tawi, majani na matunda ya mti atajua ni mbegu iliyooteshwa ardhini.

Kila ukionacho, ukisikiacho, ladha ya ukilacho tafsiri yake iko ndani yako. Tuna elimu kubwa sana ndani yetu ilatumeshindwa kuifikia. Hii Dunia ipo kwa sababu wewe upo, kinyume ya hapo Dunia haipo. Majibu ya mambo mengi yapo ndani tunatembea nayo, tunalala nayo, ktunaishi nayo. Inahitaji mwanzo na mwanzo ni kutafuta jibu la maswali yafuatayo;

1. Kwa nini upo hapa Duniani? Kufanya nini hasa?
2. Sababu ulizozania, ua ulizo ambiwa je zinamashiko?
3. Kama zina mashiko kwanini unaogopa kufa? Ilihali ukijua kuwa lazima utakufa, kulikuwa na hajagani ya uwepo wako wa wastani wa miaka 100 wakati dunia iko kwa million ya miaka? Ni kama nukta moja ya kuwa hai kwenye nukta billions
4. Popote uwapo utakuta kila kitu kina sababu ya uwepo wake, kuanzia na posensions zako, ulivimili kwa sababu maalumu, miti, majani, mvua, maji vyote utakuta kwa ajiri ya kusaidia wewe uishi, lakini wewe je? Unaishi kwa sababubu gani?

Maswali haya ni ufunguo wa tafakuli muhimu ndani yetu na upelekea mwanzo wa kujitambua na hatimaye kutambua ukweli wa sisi na maumbile mengine yaliotuzinguka na muumba wake.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binadamu anauwezo mkubwa sana, ila anaelekeza nguvu na maarifa seheme isiyo sahihi? MF ni kama hii uliosema DSM kwa sisimizi ni kama ulimwengu mzima. Binadamu anaelekeza nguvu kubwa kutaka kujua vitu vilivyo mzunguka kuliko kujijua mwenyewe. Kumbuka asili ya vitu vyote ni moja tuu ambayo pia ndio asili ya binadamu. Binadamu akijua asili yake atajua asili ya kila kitu. Badala ya kuhangaika kujua tawi, majani na matunda ya mti atajua ni mbegu iliyooteshwa ardhini.

Kila ukionacho, ukisikiacho, ladha ya ukilacho tafsiri yake iko ndani yako. Tuna elimu kubwa sana ndani yetu ilatumeshindwa kuifikia. Hii Dunia ipo kwa sababu wewe upo, kinyume ya hapo Dunia haipo. Majibu ya mambo mengi yapo ndani tunatembea nayo, tunalala nayo, ktunaishi nayo. Inahitaji mwanzo na mwanzo ni kutafuta jibu la maswali yafuatayo;

1. Kwa nini upo hapa Duniani? Kufanya nini hasa?
2. Sababu ulizozania, ua ulizo ambiwa je zinamashiko?
3. Kama zina mashiko kwanini unaogopa kufa? Ilihali ukijua kuwa lazima utakufa, kulikuwa na hajagani ya uwepo wako wa wastani wa miaka 100 wakati dunia iko kwa million ya miaka? Ni kama nukta moja ya kuwa hai kwenye nukta billions
4. Popote uwapo utakuta kila kitu kina sababu ya uwepo wake, kuanzia na posensions zako, ulivimili kwa sababu maalumu, miti, majani, mvua, maji vyote utakuta kwa ajiri ya kusaidia wewe uishi, lakini wewe je? Unaishi kwa sababubu gani?

Maswali haya ni ufunguo wa tafakuli muhimu ndani yetu na upelekea mwanzo wa kujitambua na hatimaye kutambua ukweli wa sisi na maumbile mengine yaliotuzinguka na muumba wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Uko vizuri mkuu,endelea kufungua watu macho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za masiku ma GT.

Is there life after death?
Hili ni swali ambalo pengine tumekuwa tukijiuliza lakini kwa bahati mbaya haujapata conclusion,hivyo naliweka javni hapa kwa GT ili kulichambua na ikiwezekana kupata ukweli.

Kabla nitaweka mkasa mfupi wa kweli kabisa unaonihusu.
Wiki iliyopita nilipata taarifa ya msiba wa Baba yangu mkubwa hivyo ilinilazimu huko nilipokuwa(mkoani) nirudi ili nishiriki katika ibada hii ya mazishi.Nilipofika nyumbani ambako msiba ulikuwepo nilikabidhiwa jukumu ambalo kwangu lilikuwa gumu sana na hii ni kwa sababu ni mara yangu ya kwanza.Nilitakiwa niulinde mwili wa marehemu kwa wakati wa usiku hadi asubuhi bila mimi mlinzi kulala hata lepe la usingizi.Unajuwa kutokana na stori nyingi sana zinazohusu maiti zina ogofya nilipata na woga usio na mfano ile siku sitaweza isahau katika maisha yangu.
Mwili wa marehem Baba yangu mkubwa ulikuwa pembeni na mimi nilikaa ubavuni mwake kwa usiku huu,lakini kilichonitisha zaidi umeme haukuwepo kulikuwa na giza la kutisha.
Lakini nilijikaza hadi asubuhi,kulipokucha tuliendelea na shughuli za mazishi,nashukuru tulizika salama kabisa bila tatizo lolote lile.
Baada ya mazishi yale nilijiuliza maswali mengi sana ambayo leo niyaweka kwenu tujadili kwa mapana yake.
Wakati tunazika yule kiongozi wa dini alitoa darsa fupi pale msibani kuwa huyu marehemu ipo siku atafufuliwa na mwili mpya ili kulipwa matendo yake aliyofanya akiwa duniani.Nilipatwa na mshtuko sana inakuwaje mwili ambao utaliwa na funza na kubaki mifupa ukavalishwa tena nyama mpya,je huyo mtu akifufuliwa atakuwa ni yuleyule wa duniani mwenye malengo,akili,mind zilezile?

Ndipo nilipoamua kuandika mada hii.

Death and immortality.
Is there life after death?
Death is the permanent cessation of all biological function that sustain a living organism while
Immortality involves freedom from death.

Ubongo ndio unaratibu shughuli zote za mwili hivyo kwa ufahamu wangu pindi mtu anapofariki ubongo unakuwa umeshindwa kufanya kazi na mwili mtu nakuwa amepoteza maisha.Kufa kwa ubongo ndipo unapelekea sehemu zote za mwili/viungo kufa.
Hivyo kufa ni kitendo cha ubongo kushindwa kufanya kazi.
Conscious awareness tuliyonayo inatokana na ubongo,Hii consciousnesses ndio huu uhai tulionao ambao huletwa na ubongo.Pindi ubongo unapokufa/kushindwa kufanya kazi kitendo hiki tunaita kifo.

Kama mtu akifa hawezi tena kuwa hai tena re~creation kwa sababu ubongo unakuwa umekufa na kuoza tayari.

Lakini kuna nadharia kuwa tunapokufa tutafufuliwa katika mwili mpya(resurrection) God re-creation.
Katika nadharia hii based kwenye mwili,nafasi,roho.Kuwa kifo ni kile kitendo cha mwili na roho kutengana,hivyo mwili unabaki hapahapa duniani tunazika,kochoma it depends na mila na tamaduni za jamii husika lakini roho inaenda kwa Mungu.So binadam ni divine energy(roho) hivyo roho inaishi milele haifi immorty.

Roho inapotengana na mwili inaenda kuishi kwa Mungu ikisubiri mwili wake siku ya ufufuo(resurrection) ili ilipwe kwa matendo yake ya kule duniani.
Katika nadharia hii Mungu ndiye muumba na yeye ndiye atakaye urudisha uhai tena kwa viumbe wake kwa kuumba tena.

Lakini nadharia hii imejaa maswali mengi ambayo hayana majibu.
Maswali hayo ni kama vile
a)Soul na Ubongo upi unaratibu consciousnesses katika mwili wa binadam?
b)kama jibu ni ubongo,Je mwili unapotengana na roho na roho kwenda kwa Mungu mwili(ubongo wake)kubaki duniani hivyo kuoza na kupotea.Umbaji huu wa pili utaweza kumfufua binadamu yule yule wa awali?
Ebu angalia~Ili mtu A awe ni sawa mtu B lazima watu hawa wafanane vilevile katika malengo,ufahamu,mindset,mitazamo yao.
Mambo hayo hapo juu huongozwa na brain(ubongo).
c)Je wakati mwili upo ukiharibika hapa duniani roho itakuwa inafanya nini huko ilipo?
d)Roho inaweza kuishi bila mwili?
,kama inaweza kwanini Mungu ajihangaishe kuumba tena viumbe upya wakati roho inajitosheleza.
e)Roho na mwili kipi kilianza kabla?

Conclusion.From above arguments kifo ni kifo hakuna maisha mengine baada ya kufa hakuna.
Karibuni.......

iPhone 7plus

Kama unataka kusikia ukweli ni huu!

Hakuna anayejua for sure kuna nini baada ya kifo. Hakuna aliyewahi kutoa Ithibati kuanzia Mitume mpaka wana wa Mungu.

Kila unachokisikia kwa sasa ni nadharia kulingana na imani na tamaduni za watu; na ndio maana nadharia zipo nyingi kwa Sababu ukweli haujulikana tangu na tangu.

Kila dini au tamaduni itajitahidi kuonesha ukweli upo upande wao; na kuupinga ukweli tofaut na wao.

Hata hivyo vitabu vinavyotumiwa kama référence, vimeandikwa na watu wasiojua kuna nini baada ya kifo.

Suala la Kuogopa Maiti ni Mindset ; maiti ni Mzogo kama unavyokutana na paka aliyekufa, Wewe unadhani maiti itakufanya nini kwa mfano, ? Kitu ambacho hakiwezi kusema wala ku move, still unakiogopa. Ni mind set tu na unknown fear.

Ukweli sahihi juu ya kuna nini baada ya kifo ni huu;

We Do Not Know! No Body Knows,
 
Mkuu pia ukumbuke sio watu wote wakifa wanaoza inategemea na matendo yako hapa duniani kuna watu Mwenyezi Mungu ameharamisha udongo usiozeshe mili yao mpk siku ya hukumu mfano yupo firauni wa Misri japo hakuzikwa ila ajaoza na wala hanuki pia mwaka jana Indonesia kulikua na upanuzi wa barabara so ikabidi makaburi kufukuliwa basi miongoni mwa makaburi yaliofukuliwa lilikua kaburi ya Imaam wa msikiti ambaye alifariki miaka kumi iliyopita lakini alikua kama ndo kazikwa leo leo bimana alikuwa bado mwili wa moto, namalizia mambo haya yanategemea sn na imaan yako jinsi inavyokutuma, na mapokeo yake. kuna kisa cha watu wa pangoni ambao walikuwa saba waliweza kulala miaka 309 bila kufa wala kuzeeka walipoamka walijikuta kama wamelala dakika tu kisa kilitokea kostantinopoo Uturuki ya leo.

Sent using Jamii Forums mobile app

1. Hizo ni Story Zisizokuwa na Ithibati.

Ungekuja na ushahidi ingependeza kuhusu huyo Imam

2. Na Wewe unaamini ile picha inayosambaa ndio Firauni aliyekuwa Kwenye utawala wa Mussa?
Unaweza kutoa Sababu Tatu za Wewe kuamini kuwa ile picha ndio Firauni mwenyewe? Au kunipa Aya ya kitabu chako panaposema kuwa kuna watu hawatooza.

Mpaka sasa hakuna mtu ambaye amekufa na kuzikwa lakini hajaoza, Unless ulete ushahidi.

Usiniletee Ushahidi wa lile li picha la Misri mnayemuita Firauni
 
Back
Top Bottom