Najua wengi hatumpendi Rais Magufuli ila tunayaonaje haya?

Bongo ni Bongo tu, hakuna aliyetegemea kwenye Mwendokasi tungepata tabu kama tunayoipata. So, nakushauri usijipandishe EMOTION kwa kudhani hiyo miradi itakuwa bora kama unavyodhani. Kwa anayekumbuka mabasi ya Mwendokasi yalianza vizuri sana ila angalia kinachotokea sasa......kama hawaoni vile.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Huyu mtu hadi anaondoka madarakani watu wengi watakuwa wamekufa kwa kukosa huduma bora huko mahospitalini kuliko kipindi chochote tangu nchi ipate uhuru
akili zimekuruka nini..hahaha hivi unajua hata bajeti ya madawa kwa sasa ni bilion ngapi ukilinganisha na bajeti ya awamu zilizopita...?tatizo lenu mnataka mtafuniwe kila kitu wajameni
 
Ma-architect au wabunifu wa majengo na madaktari wanasema hizo unazita hosipitalni vituo vya afya ( health centres).
Dogo we bado sana katika ulimwengu wa wajuvi wa mambo
Zilitakiwa kufanana na za ulaya hivi ama sio?
Soma vigezo vya ku categorize vituo vya huduma za afya sio kufananisha na tech na ubora wa Ulaya
 
Wenzako wanakula na kulala na kumaliza mambo yao huku. Hawatakuelewa lakini pia hiyo ya kupenda na kutopenda usiwaamini sana watu wa mitandaoni. Ukiona Pierre kawa maarufu ndo utajua why Lissu kawa maarufu kwa hawa unreasonable " vijana na wazee".
Ukiuliza Reli na kingereza atasema kingereza.
NAJUA WENGI HATUUPENDI UTAWALA WA RAISI MAGUFULI ILA TUKUMBUSHANE TUU:

1: Takribani miaka 107 imeshapita tangu zilivyotengenezwa reli nchini Tanzania na wakoloni mnamo miaka ya 1912, Raisi Magufuli amekuwa raisi wa kwanza Tanzania kutengeneza tena RELI.

Na kama ilivyo kawaida ya TANZANIA kufanya Project bora zaidi ya wenzetu East Africa na hata Africa kwa ujumla, Magufuli akaamua kutengeneza SGR bora zaidi kuliko ya wenzetu WAKENYA ambayo yao inatumia matreni ya diesel tofauti na zetu zitakazokuwa zinatumia njia za umeme kama Marekani & China.

Kwa africa.. Morocco, Ethiopia & South Africa ndizo nchi pekee zenye mradi kama huu.

2: Ndani ya miaka 57 tangu tupate uhuru, serikali ya Tanzania imefanikiwa kujenga hospital 77 tuu mpaka sasa ila kwa kipindi cha mwaka 1 na nusu au miezi 18, MAGUFULI amefanikiwa kujenga Hospital Mpya 67 na vituo vipya vya Afya vipatavyo 352 Nchi nzima. Na wanatarajia kuongeza vingine 27 katika bajeti ijayo..

HII NI MIRADI ILIYOWAZI, WAKENYA TUNAWAACHA MUDA SI MREFU.. NIMEWATAJA WAO MAANA NDIO KAMA WATANI WETU WA JADI KWENYE SUALA LA MAENDELEO IN EAST AFRICA.

Wakiwa katika mkakati wa kupanua Bandari yao ya Mombasa, TANZANIA nayo imeshatoa fungu la kupanua Bandari zake zote ambayo Upanuaji wa Bandari ya Dar Es Salaam utahusisha ujengaji wa Port kwa ajili ya Cruise ship, zile meli kubwa za starehe zitakazokuwa zinaanza kutunga nanga nchini kwetu na kushusha Watalii wake.

So inatuhusu nini???

Sawa junior paid troll

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata ajenge bustani ya angani kama Babylon..kitendo cha kumpiga Lissu risasi 38..kupotea Azory,Saanane na makada wengi wa Chadema kuuliwa..
 
NAJUA WENGI HATUUPENDI UTAWALA WA RAISI MAGUFULI ILA TUKUMBUSHANE TUU:

1: Takribani miaka 107 imeshapita tangu zilivyotengenezwa reli nchini Tanzania na wakoloni mnamo miaka ya 1912, Raisi Magufuli amekuwa raisi wa kwanza Tanzania kutengeneza tena RELI.

Na kama ilivyo kawaida ya TANZANIA kufanya Project bora zaidi ya wenzetu East Africa na hata Africa kwa ujumla, Magufuli akaamua kutengeneza SGR bora zaidi kuliko ya wenzetu WAKENYA ambayo yao inatumia matreni ya diesel tofauti na zetu zitakazokuwa zinatumia njia za umeme kama Marekani & China.

Kwa africa.. Morocco, Ethiopia & South Africa ndizo nchi pekee zenye mradi kama huu.

2: Ndani ya miaka 57 tangu tupate uhuru, serikali ya Tanzania imefanikiwa kujenga hospital 77 tuu mpaka sasa ila kwa kipindi cha mwaka 1 na nusu au miezi 18, MAGUFULI amefanikiwa kujenga Hospital Mpya 67 na vituo vipya vya Afya vipatavyo 352 Nchi nzima. Na wanatarajia kuongeza vingine 27 katika bajeti ijayo..

HII NI MIRADI ILIYOWAZI, WAKENYA TUNAWAACHA MUDA SI MREFU.. NIMEWATAJA WAO MAANA NDIO KAMA WATANI WETU WA JADI KWENYE SUALA LA MAENDELEO IN EAST AFRICA.

Wakiwa katika mkakati wa kupanua Bandari yao ya Mombasa, TANZANIA nayo imeshatoa fungu la kupanua Bandari zake zote ambayo Upanuaji wa Bandari ya Dar Es Salaam utahusisha ujengaji wa Port kwa ajili ya Cruise ship, zile meli kubwa za starehe zitakazokuwa zinaanza kutunga nanga nchini kwetu na kushusha Watalii wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Naona njaa imekupanda kichwani

In God we trust
 
Jiwe yupo vizuri ila ana mapungufu machache kama ubabe na kukurupuka mwisho kabisa anambeba bichwa maji aka
Mkwepa kodi DAB

Sent using my iPhone using jamiiforum app
Mikurupuko hiyo ndiyo imetufikisha hapa tulipo kama yanayo tokea bungeni

In God we trust
 
una haraka gani...subiri uone maajabu ambayo hatuyategemei kutokea lakini awamu hii yanatokea...kweli Magufuli ni chaguo la Mungu
Usitaje bure jina la Mungu wako.
Tukiamua kusifia tusifie tu bila kumshirikisha Muumba wetu.
 
Njoo utueleze pangua pangua inavyotutafuna:-
(i). Mwaka 2016 DEDs 125 ndani na 125 out (athari zake unazifahamu)? - Jaribu uchukuwe wastani wa tshs 3,500,000 X 125 = 437,500,000/= (ni kwamba kila mwezi mshahara unaolipwa kwa Wakurugenzi 125 waliopanguliwa ni wastani wa fedha hizo 437M) sasa zidisha kwa mwaka.

(ii). Ma DAS, DCs, na Wakuu wa Idara kadhaa za Serikali - kila unapowaweka benchi wao huendelea kula mshahara ngazi ya LLS.

(iii). Naungana nawe kuwa JPM ni mzuri sanaaaa!

Soma kutoka kushoto kuja kulia ndio utanielewa!
 
Back
Top Bottom