Recent content by stvunderson

  1. S

    JamiiForums Tanzania Usahihi wa Rais Magufuli upo wapi? Nimeshindwa kueleweka, lakini nitaeleweka tu!

    我會讓位址。我方正好想過一種族群組別墅。!。不會對外界面積分享 imba na wewe kazi uchonganishi alafu utasamehewa
  2. S

    JamiiForums Tanzania Ati hii ni simu au ni pepo?

    Mi sijaelewa kabisa
  3. S

    JamiiForums Tanzania Nifanyaje ili niweze kuwa IT

    Nenda VETA utapata msaada waeleze kuusu elimu yako watakusaidia
  4. S

    JamiiForums Tanzania Airtel, watoa Whatsapp, Tweeter na Facebook Buree pindi ununuapo Kifurushi (yatosha)!

    Airtel wez wez kinoma juz kat nimejiunga na yatosha ya mwez cha kushangaza nikapewa dakika na message nikanyimwa MB kuwapigia simu wakaniambia watanitumia hadi leo nasubili tokea tarehe 7 jana nawapigia wananiambia mbona facbk na whatsp ni bule ukishajiunga nilicho mjibu ni kwamba siyo kila mtu...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Vyeti kupotea

    Ainingii kichwani kuambiwa vyeti vimepotea jamani naombeni ushauli nilisoma chuo cha ucc tawi la mbez beach kozi ya recordmanagement nikaitimu mwaka 2012 cha kushangaza vyeti hadi leo atujapewa tukienda kuwauliza chuoni wanatuambia twende magogoni kwamba ndio vinapo tolewa ukienda magogoni...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Wana jf msaada kuhusu samsung led tv 28' f4000 tv:

    Maybe utumie dish
  7. S

    JamiiForums Tanzania Software ipi imetumika?

    Thanks jf member
  8. S

    JamiiForums Tanzania Napata error "Applicacation not installed".

    Mmm makubwa nami pia nimenunua tatizo ilo ilo il a internet natumia fresh tatizo kudawnload apk ndio majanga duu Naomi pia naomba msaada no huawei y 220
  9. S

    JamiiForums Tanzania Nauza projectors uses

    Projector used ndio nilimanisha lakini tatizo ni typing error tu nafikili tumeelewana wadau asanteni kwa kunionyesha makosa yangu
  10. S

    JamiiForums Tanzania Nauza projectors uses

    Nicheki 0765683631
  11. S

    JamiiForums Tanzania Biashara ya salon za kiume na kike

    Mawazo yako ndio mtaji wako salsa yafanyie kazi kwanza cha muhimu no kubolesha huduma yako kinyozi mwenye uzoefu'usafi kwa ujumla,kuweka vivutio mbali mbali kama TV
  12. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama ni wewe, mtu huyu utamfanya nini?

    Uwiiiiii Aachen nicheke mid nampa value
  13. S

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu sumu ya nyoka au mdudu!

    Kwa mtazamo Wang kulingana na maelezo ya muhusika inaonekana kabisa ajui nini kimemkuta ila anahisi kama kaumwa na mdudu au nyoka mi namshauli aende hospital kwa uchunguzi zaidi na so kubahatisha some time mwili unaweza kupata effect na we ukaisi kama umengatwa na kitu kumbe ni mwili tu umetoa...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Wanawake Wengi Miaka Hii wana matumbo makubwa-why?

    Hahahaaaaa ebwanahee mi naona chips zinamchango mkubwa
  15. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Amenisomesha, kaninunulia gari lakini sina mapenzi naye

    Yani uyu shetani Wa kike kaniuzi mpaka mikono Yang inashindwa kutype basi tu namuombea apate upofu Wa week moja aone nani atakaye mjali kama uyo bwana alivyo mjali kipindi chote cha shida yani angekuwa uku kwetu msoma angesema tu
Back
Top Bottom