SirLuke
Member
- Dec 1, 2014
- 75
- 8
Habari zenu wanajf. Na kheri ya mwaka mpya.
Samahanini sana naomba mnisaidie ushauri. Mimi ni kijana mwenye elimu ya msingi STD7. Ninazo fun mbalimbali, But ktk maisha yangu napenda sana kutoka moyoni kuwa mwanaIT.
Napenda sana yaan kutoka moyoni. Sasa jamani elimu yangu mnavyoiona je nifanye nini mpaka nifikie hatua hyo.