Vyeti kupotea

stvunderson

Member
Dec 11, 2013
21
2
Ainingii kichwani kuambiwa vyeti vimepotea jamani naombeni ushauli nilisoma chuo cha ucc tawi la mbez beach kozi ya recordmanagement nikaitimu mwaka 2012 cha kushangaza vyeti hadi leo atujapewa tukienda kuwauliza chuoni wanatuambia twende magogoni kwamba ndio vinapo tolewa ukienda magogoni wanakuambia nenda chuoni kwenu ulipo somea cha kushangaza hiv juz tumeenda kwa meneja wa ucc anatuambia vyeti vilipotelea magogoni tusubili kwa kweli tumesubili mpaka leo wanaendelea kutuambia tusubili naombeni ushauli wenu wana jf member plc nimeshindwa kupata kaz kwa ajili ya vyeti na muda unakwenda natanguliza shkln
 
hivi hii UCC imesajiliwa? Japo wanasema ni branch ya Udsm,..
 
Pole sana
 
Back
Top Bottom