stvunderson
Member
- Dec 11, 2013
- 21
- 2
Nicheki 0765683631
Nicheki 0765683631
hana uhakika na anacho uza huyo!unajua unachouza?
We Rahma upo wapi siku hizi au ndio ushaenda Kigoma?nita kui box then tuta chati kama nimekuelewa
Nicheki 0765683631
Kisichoeleweka nini? Ni kwamba jamaa anauza maandiko ya miradi ( projects) na malipo yake ni kwa dola ya kimarekani (usd)
Basic principle ya kuandika maandishi yoyote yale...Projector used ndio nilimanisha lakini tatizo ni typing error tu nafikili tumeelewana wadau asanteni kwa kunionyesha makosa yangu