Wana jf msaada kuhusu samsung led tv 28' f4000 tv:

Wana jf msaada kuhusu samsung led tv 28' f4000 tv:

Uzazi wa Mpango

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2012
Posts
1,382
Reaction score
1,232
Nimenunua Samsung LED TV 28' F4000 ina king'amuzi ndani (Built in receiver) ila naishi wilaya ya kilombero. Je naweza kupata free satellite channels kwa kutumia antena?
 
nyuma ya tv kama kuna input pin ya antenna bas weka antena.. kama input pin ni ya kichwa cha waya wa dish bas itabid uwe na dish..
 
Mkuu mimi kwa ushauri wangu fanya mchakato ununue dish la futi 6 channels utazipata free na bila chenga kabisa. jaribu kusearch humu kuna thread kuhusu maswala ya madish kwa ushauri na michango ya watu tofauti ujione uzuri wake na ubaya. mimi na dish la futi 6 kwa kweli na enjoy.
 
ndio mkuu nyuma ya tv kuna input pin ya antenna, ila nilikua nauliza kama itawezekana kuzipata hizo free channels kwa kutumia antenna ukizingatia geographical location ya wilaya, vile vile nimegundua hata wale wanaotumia kingamuzi cha startimes hawapati channels, natanguliza shukrani mkuu
 
bonyeza kitufe cha MENYU then nenda kwenye search ambayo ina alama ya kidish.. then OK.. hapo utabonyeza auto search then usubiri had imalize after that bonyeza EXIT utaziona..

kama bado hujaipata menyu ya search bonyeza kitufe cha SOURCE kwenye remote yako ili ije Upande wa TV then bonyeza MENYU tena ufate step hizo..

nb: HAKIKISHA UMECHOMEKA HUO WAYA WA ANTENNA elekezea mjini

all the best mkuu
 
Mm nina lg nataka kutumia king'amuzi cha azam nafanyaje, coz nimechomeka nyaya za king'amuzi kwenye tv nikisearch hola, so natakiwa nifanyaje ili nipate channel za kwenye azam
 
Back
Top Bottom