Kama ni wewe, mtu huyu utamfanya nini?

Kama ni wewe, mtu huyu utamfanya nini?

Mizunguko ya town tax-tsh. 45,000/-
Vinywaji-48,000/-
Dinner-25,000/-
Mchemsho wa bata-12,000/-
Vocha-10,000/-
Shoping ya-190,000/-
Umelipia LODGE-35,000/-
Anakuangalia usoni anakwambia nipo kwenye.....Je, kama ni wewe utamfanyeje?

Sina comments kwa sababu mimi binafsi siwezi tumia pesa hivyo kijingajinga; hiyo ni mifuko mingapi ya sementi? ni trip ngapi za mchanga? Mtaendelea kulia maisha mabaya kumbe ubaya mnausababisha wenyewe.

Jana nimsikia jamaa akiongea kitu pale Chanya - Nyakato national - nakubaliana naye kwa silimia zote.

POMBE HAIMALIZI PESA, KINACHOMALIZA PESA NI WANAWAKE.
 
Mabinti wa aina hii huishia kunywewa super shaft na kupigwa mini-kabang!
 
Unamuachia aende mtapanga another day,huwezi kuspend a lot of money kwa mwanamke,it means unazonyingi.
 
Hujui kutongoza au? Unafikiri kumwaga pesa ndio kupewa mchezo. Hapo una miezi 6 ya kuzungishwa, we endelea kutoa pesa
 
Mara ya mwisho kumtumia mamako hela ni lini, japo 50k!

Adu inawezekana wala sio ''demu'' wako, just a one night stand....
Baadhi ya wanaume ni #mburula kweli..
 
Sina comments kwa sababu mimi binafsi siwezi tumia pesa hivyo kijingajinga; hiyo ni mifuko mingapi ya sementi? ni trip ngapi za mchanga? Mtaendelea kulia maisha mabaya kumbe ubaya mnausababisha wenyewe.

Jana nimsikia jamaa akiongea kitu pale Chanya - Nyakato national - nakubaliana naye kwa silimia zote.

POMBE HAIMALIZI PESA, KINACHOMALIZA PESA NI WANAWAKE.
Nakubaliana nawe mkuu! Tatizo la baadhi ya wanaume kutoendelea ni kuwekeza kwenye papuchi.
 
Kama ni mimi ninabadilisha approach kwa kuomba ushauri kwa wadau wangu, wewe ulidhani pesa ndio kila kitu na huenda umezoea wale mademu wasiojitambua ambao akila hela yako tu unajua tayari umempata

CHIDUMULE aliimba usitumie fedha kama fimbo mpaka pale mtakapokuwa na makubaliano hapo pesa ndipo ina thamani (hapa hata kama unatumia pesa usifanye kama ndio chambo tumia pesa kwa kuwa huwezi ongea na mtoto wa mtu chini ya mti lazima anywe lazima ale kama umekaa nae muda mrefu)
 
Mzee wa mashairi na tamthiliya nakumbuka kuna wimbo wa kipindi kidogo, nakumbuka ni Sikinde, maneno yake yanaenda hivi.

"Usitumie peeesa, kama fimbo kaka ee, mambo ya pesa hutaka makubaliano, hapo ndipo pesa huwa na thamani eee".

Sasa nyie kabla ya matumizi yote hayo mlikubaliana nini?
 
Mara ya mwisho kumtumia mamako hela ni lini, japo 50k!

Adu inawezekana wala sio ''demu'' wako, just a one night stand....
Baadhi ya wanaume ni #mburula kweli..

Swali zuri mara nyingi mtu akiombwa hela na mama yake anajifanya hana alafu baadae kikija king'asti anamwaga ela kama hana akili nzuri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom