Wengine ni Rasta ya fashion sio imani. Sasa sijui vinaingilianaje? Nanyi marasta muachie wengine wake zenu hamtosalitiwa kwa kutumia "upako huo huo" wa wake wa wengine kuwa safe kwa marasta. Unauliza makofi polisi?
Ukisema ulikuwa arosto nitakuelewa ila kusema diet!,Napata kigugumizi kidogo. Soda hazishauriwi kiafya na ugali ni starch ( kisukari). Ni kwa nia njema tu, si kukashifu.
Basi utakuwa umewapigia mahesabu na kuwapinda wote. Mtazamo wangu wanene na wembamba wote watamu ila inategemeana na "mtavyo-cope" mkiwa 6 x 6. Unakuta rythm zinaenda pamoja. Wengine unakuta "mwendo" hauendani kabisa. Yaani wewe unaenda kusini yy magharibi. Ila unakuta mwingine mnaenda pamoja.
Prado yaweza patikana kwa bei hiyo. Unakuta mwingine ana shida. Kuna mtu juzi kanunua GX 100 kwa 3.5m. Yote yawezekana. Jambo la kumshauri ni aposti ktk mitandao mingine na kumtakia kila la kheri na sio kukashifiana. Nawasilisha
Daudi1. Mapenzi huwezi kupima kwa muda. Haya kama ni wewe ungeweza kufanya hivyo mkiwa na muda gani ktk mahusiano? Maana umesema miezi 6 huwezi shawishika kutoa figo?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.