Am a single girl searching for a guy ambaye anajielewa, mrefu, msafi, well educated, mwenye ambitions, pia awe mkristo. awe na umri btn 28 en 32.
Mhm Preta tunaye miaka mingi hivyo yeye ana neno na uke wenza!
Wewe njoo hakuna haja yakuuliza mwingine wewe kwa akiri yako unadhani akija hapa atakujibu unavyotaka?/ni nani anataka keki yake kuigawa mara mbili??Ngoja mwenyewe aje hapa aseme. Utatuweza sote? Mapenzi na matunzo.
Wewe njoo hakuna haja yakuuliza mwingine wewe kwa akiri yako unadhani akija hapa atakujibu unavyotaka?/ni nani anataka keki yake kuigawa mara mbili??
Mie nipo ni PM tujuzane fresh ila na wewe mzuri sio nikute kituko kama betina wa kwenye sani..