Bujibuji huyo
NGULI asikusumbuwe nilimfanyia analysis ya maradhi yake yanayomsubuwa ya kudhani kuwa Kikwete ni babake mzazi, ni maradhi kama aliyonayo
Yericko Nyerere, huyu mwingine anaota kuwa Nyerere ndio baba'ke mzazi.
Niko katika kuwapa tiba ya kisaikolojia, naona @Yericko ameanza kupona, ingawa bado ana delusions za kusema babake ni Yohannes Nyerere wakati Nyerere hana udugu nae hata kidogo. Alifikia mpaka kusema watoto wa Nyerere ni dadda zake na kaka zake, mpaka akaja mtoto wa Nyerere orijino
Andrew Nyerere akamtoa nishai humu-humu JF kwa kusema kuwa kaulizia Msasani na Mwitongo hakuna amjuae mtu anaeitwa @Yericko katika ukoo wao. Ndio kidogo akaanza kujistukia kuwa yote yale ni ma hallucination tu.
Si unaona mpaka JF wamemshtukia wamemuondoa kwenye "verified" memba.