maroon7
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 11,341
- 15,842
ccm vibandani then unaliunga pale luxury pub siku hizi Makosa ana-performTatizo mwana pale unarekodiwa kila kitu na yale makamera! Ah heri nitulie zangu ccm vibandani tu!
ccm vibandani then unaliunga pale luxury pub siku hizi Makosa ana-performTatizo mwana pale unarekodiwa kila kitu na yale makamera! Ah heri nitulie zangu ccm vibandani tu!
![]()
miss wa kinyaru ukivaa namna hii siku ya JF Party utasababisha Kimbwaimbwai, ama kweli Iringa kuna maembe dodo..........
CC: Asprin, Vin Diesel, Kipaji Halisi, Mentor, Bujibuji, jouneGwalu, Jiwe Linaloishi, KakaKiiza
Kinyarwanda(Kinyaruanda)
Ukizaliwa tunda lazima mwisho wasiku utapigwa mawe tu!!Asante Nicas MteiHawa waliotajwa hapo ndo wapo kwenye lile kundi la mabazazi?
Ukizaliwa tunda lazima mwisho wasiku utapigwa mawe tu!!Asante Nicas Mtei