Utake isitake...

Utake isitake...

alwys nipo pale ijumaa utanikuta man full makofidensi narika riddim mbaya....just water and spliff

Mie huwa nakuja sana...na kuna kipindi nikawa na sport yetu na washikaji. ya riddim pale buddhablue
 
labda maRas wa jamaica ila wakibongo siafiki!! ni baadhi yao
 
katika hii dunia viumbe tulio baki wenye upendo,mapenzi aka love kwa watu wote ni sisi ma raster,RASTER HANA SUMU ATA UKIMUACHIA mke wako rasterman hawezi kukusaliti aka mka mlangai mke wako au mchumba ako AMINI NA WAMBIA WAKE ZENU,MADEMU ZENU WACHUMBA WENU WAPO SAFE KWA MARASTER

Wengine ni Rasta ya fashion sio imani. Sasa sijui vinaingilianaje? Nanyi marasta muachie wengine wake zenu hamtosalitiwa kwa kutumia "upako huo huo" wa wake wa wengine kuwa safe kwa marasta. Unauliza makofi polisi?
 
saa unasemea marster kama kina chege chigunda....wale mabitozii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom