Naona wengi mnasema hampo tayari kutoa figo je wapenzi wenu mlio nao mpo nao kwa mapenzi yapi??kama anaumwa na hauko tayari kumsaidia sasa kuwa na mpenzi ya kazi gani??Kawaida mnapokuwa wapenzi kuna matarajio mengi sana kila upande na hasa wadada wanakuwa namatarajio makubwa sana na wanajitoa sana kwa wanaume na wanakuwa namatuamini makubwa sana kama mtoto anavyo mwamini babayake kuwa hakuna mtu au kitu chochote kinaweza kumzidi babayake!!Na wadada huwa hivyo na mara nyingi utegemea sisi kuwa na mawazo yakuwaongoza wao na kuwapa ushauri juu yanini wakifanye! na kutamani kuwa kwenye mahusiano yenye kuwa namwisho wakuwa mke na mume!Na waliobahatika kuwa kwenye mapenzi motomoto ya mda mrefu na baadae wakabadilisha status zao na kuwa Mr and MRS wamekuwa na raha sana katika ndoa zao Ila mara nyingi matatizo uja hapo baadae kwa mwanaume kuona kuwa sasa hapa ninamiliki mke hivyo kuona anaouwezo wa kuongeza mpenzi wa wizi na baadae kuwa na mfarakano kwenye ndoa na mwisho kuumizana kwenye nyoyo! na ndoa kuvunjia ila mara nyingi vyanzo ni wanaume!Hivyo naona kushindwa kumsaidia mpenzi wako inamaana huyo hukuwanaye kwa dhati nimapenzi yakutaka kukidhiana haja!basi!!!