Recent content by STG

  1. S

    Vigogo TFF wadaiwa kuomba fedha

    Washaanza wanataka tff yote ichunguzwe
  2. S

    Dondoo za Bajeti 2016/2017, kujitegemea kwa asilimia zaidi ya 80

    Bajeti ya kwanza ya Serikali ya Awamu ya Tano itaizidi ya Serikali ya Awamu ya Nne kwa Sh7.1 trilioni baada ya Waziri wa Fedha kutangaza sura ya bajeti ya mwaka 2016/17 inayoonyesha kutakuwa na makusanyo na matumizi ya Sh29.5 trilioni. Sura hiyo ya bajeti ya mwaka 2016/17 inatofautiana na...
  3. S

    Vigogo TFF wadaiwa kuomba fedha

    Dar es Salaam. Kashfa ya kupanga matokeo na hatimaye kushushwa daraja kwa timu nne imechukua sura nyingine baada ya watendaji waandamizi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kudaiwa kuomba fedha. Watendaji hao, Juma Matandiko na mwenzake ambaye ni mjumbe wa Kamati ya Mashindano ya TFF wanadaiwa...
  4. S

    Waziri Mbarawa atoa siku 4 kwa TRL Tabora kuvunja uzio

    Ni vizuri yt ni katika utendaji
  5. S

    Hii namba '0784105505' ni ya Airtel huduma kwa wateja?

    Ok labda wengi hawajui hivi karibuni kulitokea wizi ambao wa kutumia mtandao na hii hali ilikuwa inatumika sana kwa hawa wa airtel money kwamba simu inawapigia kwamba inatoka airtel na kutoa maelezo kadhaa yanayohusu account zao na mwisho kutapeliwa na watu wakalalamika sana kama ka mchezo hivi...
  6. S

    Orodha ya wahitimu shahada ya kwanza waliofanya vizuri katika masomo yao

    Hao wakiingia interview au mitihani ya bodi kama CPA AU CPSP NA MINGINE UNAKUTA NI SHIDA TUPU KWA SABB ANAYETOA MAKSI NI MKUFUNZI WAKE,KAMA SIVYO WAPEWE MTIHANI MMOJA VYUO VYOTE
  7. S

    Baba yangu Askofu Kakobe upo wapi?

    Hapa ndipo napoona watu wanahitaji kufunguliwa,kwanza sio kweli watumishi wote ni makanjanja naamini wapo tena wengi je wewe umetembea makanisa mangapi na kuja kuposti au unasubiri wale unaowaona katika tv au redio? Jambo la pili kumbuka kama jambo amelianzisha Bwana litaendelea na kama sivyo...
  8. S

    Zoom Tanzania Wanashirikiana na Matapeli??

    Ndugu huko zoom hata kama hayo yalinikuta yaani hawa jamaa wa zoom inafika kipindi nawafikiria vibaya sana kwamba wanatengeneza kazi maana hili jambo sio la leo wala jana,Na kazi zinazotoka zoom mara nyingi magumashi sana ,kama kazi labda zile zinazotoka ajira zetu,utumishi,vijana jobs na...
  9. S

    CHINA: Uchaguzi wa Zanzibar ulikuwa huru na wa haki, yaahidi kuendelea kutoa misaada

    China Yasema Uchaguzi wa Zanzibar Ulikuwa Huru na Wa Haki.....Yaahidi Kuendelea Kutoa Misaada na Kushirikiana na Tanzania Balozi wa China nchini Tanzania Dkt. LU Youqing amefanya mazungumzo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Muungano na Mazingira Mh. January Makamba Ofisini kwa...
  10. S

    TFF Kuna tatizo gani?

    Kama hoja ni kuingia nani mbona mlilalamika juu ya raisi kikwete na alipotoka ameingia magufuli amefanya mabadiliko au hajafanya? Kama hoja ni madeni ya nyuma hata srrikali yako ina madeni ya nyuma lkn mfano magufuli anaonesha njia za kupambana nazo nchi iwe salama sasa kama huyo kaka yako...
  11. S

    TFF Kuna tatizo gani?

    Huyu jamaa chuakachara naona hoja zake ni kumtetea malinzi hivi kuna kaundugu nn? Au mwenzetu unasehemu ya posho pale au ni wa kabila lako ndugu maana huna hoja bali kubwabwaja tu wewe huoni mpira unakoenda,umeomba solution ok moja jamaaa yako ajiuzuru mengine nitakuambia baada ya kufanya hivyo
  12. S

    TFF Kuna tatizo gani?

    Namshauri aachie ngazi na kukaa pembeni tu itakuwa busara zaidi
  13. S

    TFF Kuna tatizo gani?

    Mara nyingi sana naiguatilia hii TFF ya malinzi kama inajielewa au vip kwa sababu zifuatazo: 1- Wanadaiwa bil 1.8 na nimemsikiliza huyu malinzi analalamika na kusema hata uwanja wa karume nao wanauweza kufungwa kwa sbb ya madeni 2 - Hawajui nani anapaswa kumlipa mkwasa kama TFF au serikali 3...
  14. S

    Ripoti: Kwa Mikoa 23, kuna watumishi hewa 2,620. Jisomee...

    Hatimaye wakuu wa Mikoa yote nchini wametii agizo la Rais John Magufuli lilokuwa linawataka wasilishe ripoti ya idadi ya watumishi hewa kwenye mikoa husika. Wakuu hao wa mikoa wapya wamewasilisha ripoti za watumishi hao jana Jijini Dar es Salaam kwa Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa...
Back
Top Bottom