Hii namba '0784105505' ni ya Airtel huduma kwa wateja?

nzalendo

JF-Expert Member
May 26, 2009
11,724
11,999
Hii namba imetumwa kama meseji na airtel kama ifuatavyo:
Ndugu mteja, Airtel inapenda kukutaarifu kuwa namba 0784105505 pekee ndio itakayo tumika kukupigia simu kuhusu huduma mbalimbali za airtel.

Nimepata wasiwasi sana......kwani namba ya mtumaji haionekani ila ni neno airtel(ambayo nadhani ni mask tu)
 
Title ya post yako na uliyoyaandika haviendani. Huwezi kusema 'utapeli' wakati hata wewe mwenyewe huna uhakika.
Fuatilia ndio ujue kinachoendelea
 
Mie mwenyewe wamenitumia hiyo sms la nakushangaa kuanza kusema utapeli hebu tuambie wewe basis IPI namba yao
 
Ok labda wengi hawajui hivi karibuni kulitokea wizi ambao wa kutumia mtandao na hii hali ilikuwa inatumika sana kwa hawa wa airtel money kwamba simu inawapigia kwamba inatoka airtel na kutoa maelezo kadhaa yanayohusu account zao na mwisho kutapeliwa na watu wakalalamika sana kama ka mchezo hivi unaofanywa labda na baadhi ya wafanyakazi wasiowaaminifu,ili kutatua tatizo hilo ndiyo wakatuma hiyo namba kwamba kama kuna maswala yyt ya aitel au promo za airtel au zawadi kwa mashindano yyt yatakayoendeshwa na airtel basi hiyo ndio namba itakayotumika vinginevyo na hapo ujue ni matapeli
 
Hii namba imetumwa kama meseji na airtel kama ifuatavyo:
Ndugu mteja, Airtel inapenda kukutaarifu kuwa namba 0784105505 pekee ndio itakayo tumika kukupigia simu kuhusu huduma mbalimbali za airtel.

Nimepata wasiwasi sana......kwani namba ya mtumaji haionekani ila ni neno airtel(ambayo nadhani ni mask tu)
Hata mimi imekuja kwangu na nimeifuta najua baadaye utaambiwa hebu tuma badili code yako tumia watakayo tuma wao hasa kwenye Airtel money,eti nitumie hiyo namba kwa kitu gani?toka lini kampuni za simu zikatoa namba binafsi ili kuwasiliana nao badala ya CC ambayo ni 100?kaeni chonjo matapeli wanabuni mbinu kila leo.Ukitaka kujua uliza kwenye mtandao wao/au wavuti wao kwenye Facebook
 
Hii namba imetumwa kama meseji na airtel kama ifuatavyo:
Ndugu mteja, Airtel inapenda kukutaarifu kuwa namba 0784105505 pekee ndio itakayo tumika kukupigia simu kuhusu huduma mbalimbali za airtel.

Nimepata wasiwasi sana......kwani namba ya mtumaji haionekani ila ni neno airtel(ambayo nadhani ni mask tu)
Hii namba siyo ya utapeli kweli ni ya Customer care ya airtel mostly walikuwa wanaitumia staff wao (0784/0785/0786 670xxx) wanapokiwa na shida kwenye simu. Kama unfahamu yeyote anayefanya huko muulize tu
 
Title ya post yako na uliyoyaandika haviendani. Huwezi kusema 'utapeli' wakati hata wewe mwenyewe huna uhakika.
Fuatilia ndio ujue kinachoendelea
Hebu wewe fuatilia kwanza wakishakutabeli tupe mshindo nyuma(mrejesho)
 
Back
Top Bottom