sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,098
- 8,727
Jamani wanajamvi nisaidie kumkamata mwizi.
Ilikuwa juzi mzee nimekaa nyumbani kwangu ,ikaona ngoja niingie Zoomtanzania, nikakuta post za project officers 5 post katika ngo inayoitwa climate vission, ipo jijini dar nikaomba eti leo hasubuhi ata kuamka sijamkaa ikaingia text inasema hivi,
''hello,am Mr Kauga from climate vission ngo in dar tunaingia kwenye vikao kupitia CV kwa ajira ya kushortlist majina ya interview, nataka nikusaidie upate kwa mashariti haya, leo kabra ya saa nane utume elfu 50,000. na baada ya kupata kazi utanipa laki 5, nitakutumia maswali ya interview leo na ntakupigia simu nikitoka kwenye kikao.
'' Mwisho wa kumnukuu mwizi mr Kauga jamani msaada tumkimbize mwizi. Ndio maana juzi niliandika hapa jf kuwa zoomtanzania ifutwe, na mitandao yote ya kitapeli ikomeshwe taesa wawe wakala kweli wa ajira za private.
Najua kuna wtu mliomba hizo [post kuweni makini ni wezi hawa. zooomtanzania ndo chanzo.