Mara nyingi sana naiguatilia hii TFF ya malinzi kama inajielewa au vip kwa sababu zifuatazo:
1- Wanadaiwa bil 1.8 na nimemsikiliza huyu malinzi analalamika na kusema hata uwanja wa karume nao wanauweza kufungwa kwa sbb ya madeni
2 - Hawajui nani anapaswa kumlipa mkwasa kama TFF au serikali
3 - Walibuni njia ya kutafuta vipaji kwa kufuata mikoani na kuweka kombe kyela kumbe changa la macho
4 - Kwa kipindi alichokaa malinzi hakuna maendeleo
5 - Hawajitambui hata jinsi ya kupanga ratiba ni panga pangua
6 - Wamenyima demokrasia vilabu na kumfungia mwanasheria kwa miaka kisa tu ukweli unauma
7 - Naona maamuzi yao mengi ni ya kukurupuka tu
Hayo ni maoni yangu naona swala la mpira bongo hii kama day dreams