Recent content by Stephen ES

  1. S

    JamiiForums Tanzania Rais tunaomba uingilie kati stendi ya Bukoba tumechoka

    Bukoba si ndio nyie mlikuwa mnasema inaifunika Moshi kwa kila kitu? Stand yenyewe ndio hiyo! Post sent using JamiiForums mobile app
  2. S

    JamiiForums Tanzania Bei ya Mahindi katika kila mkoa

    Huwezi kusema bei ya Mbeya ndio iko chini kuliko mikoa yote wkt c mikoa yote umepata bei yake!
  3. S

    JamiiForums Tanzania Stand ya Bus mkoa wa Mara-Bweri inatia Aibu

    Stand za kiwango ni ya Morogoro pale Msamvu,Ya Singida ile inayojengwa pale na Ya Moshi ambayo kwa sasa kuna haha ya kuihamisha kutokana na wingi as magari na kuonekana ni ndogo.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Shule nzuri, Moshi Mjini/Rombo O-level

    KAMA ni msichana mpeleke Anwarite Girls,ipo Kawawa Road kama unaelekea Kirua! Wako vzr sana.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mechi za mwisho VPL,Vita ya ubingwa na kushuka daraja

    Simba imekuwa kama Arsenal!
  6. S

    JamiiForums Tanzania Mchezaji gani aliyestafu ungependa arudi uwanjani

    Kenneth Mkapa na Salum Kabunda 'ninja'.Hawa jamaa ilikuwa ukitaka kuwapita tu,umechukua kwanja!
  7. S

    JamiiForums Tanzania Jumla ya milioni 100 hutolewa kila siku kama posho kwa wabunge..

    Mkuu hata hiyo M 86 sio ndogo!
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu aliyesoma Lugalo primary school (JESHINI)90-96...

    Mwalimu Komba,Mwl Mligo,Kabigi ndio alikuwa mkuu wa shule nk!
  9. S

    JamiiForums Tanzania Mchezaji gani aliyestafu ungependa arudi uwanjani

    George Bush
  10. S

    JamiiForums Tanzania Wenyeji wa Tanga hapa ni wapi?

    Mbaga
Back
Top Bottom