Jumla ya milioni 100 hutolewa kila siku kama posho kwa wabunge..

Ambalo hujui au unajifanya hujui ni kuwa posho hizo ziko kisheria. Ili mapendekezo yako yafanyiwe kazi ni lazima sheria ibadilishwe na wabadilishaji ni hao hao wabunge. Je, unafikiri mapendekeo yako yanaweza hata kufikishwa bungeni kama muswada? Na kama hilo litawezekana ni mbunge gani timamu atakaye kubali aishi dodoma kwa mshahara tu? Nakushauri usipoteze muda hata kufikiri jambo kama hilo kwa sababu haliwezekani katika maingira ya kawaida.
 
Ninachojua michango yangu posho Za wabunge Ulikuwa 86milioni, milioni 14 zilitoka ofisi ya spika ndipo ikifika hiyo milioni 100
Hivyo posho ya siku ya wabunge ni 86 milioni
 
Ubunge ni kazi ngumu, kumbuka hawa watu wameacha kazi zao na kuingia kwenye ubunge na ni kazi ya miaka mitano tu ambapo baada ya hapo hana kazi tena. Kama unaona wanalipwa nyingi kajaribu wewe kuitafuta hiyo kazi. Acha wivu , ukiambiwa Fanya wewe unakataa, akifanya mwenzako unaumia eti analipwa hela nyingi.
Ndio nyinyi mnaolalamika ooo wachungaji wanawakamua waumini na kujitajirisha, ukiambiwa kafungue na wewe kanisa , unapata kigugumizi. Ishi kadri mungu alivyokupangia , acha kuchunguza na kulalamika maisha ya mwenzio. Anapata sana pambana na wewe ukalipwe hivyo. Kwanza haujui MTU anapitia changamoto gani mpaka analipwa hivyo.
 
Sawa bwana MAJi marefu
 
Mnataka wao wale kitu gani hasa? Kwanini hampendi kuona wenzenu wakifaidi?
 
Nimeishiwa nguvu baada ya kujua kwa Kila kikao kimoja cha bunge zinatoka sh 100m kama posho kwa wabunge wote. Wakati Kuna hospitali ambazo hazina vitendea kazi mashule hayana maktaba wa maabara.
WAZO LANGU
WAFUTIWE POSHO NA WACHIWE MISHAHARA NA ZIELEKEZWE KATIKA ELIMU NA MIUNDOMBINU.

Kwenye la Posho Wabunge wote huwa kitu kimoja, labda kidogo Zitto bado hachukui huu Mzigo lakin Hakuna Cha Bashe, Nape, Lissu, Mbowe, Bulembo wote wanazilamba na wanalalamika eti Bungeni kuna Ukata!
 
Back
Top Bottom