N ngararumu JF-Expert Member Mar 20, 2012 468 188 Mar 29, 2017 #5 eleza sababu za swali lako, umepotea njia au kuna shindano "RWANDA"
Mwanyasi JF-Expert Member Nov 16, 2010 7,955 7,106 Mar 29, 2017 #6 Hapo ni kwenye barabara ya lami kuelekea Lushoto toka Mombo
Victor wa happy JF-Expert Member Apr 24, 2013 11,660 11,647 Mar 29, 2017 #10 Kuna ingne inatoka muheza mjin kwenda Aman reserve Bwana hapo lushoto ni cha Mtoto
Waterloo JF-Expert Member Nov 30, 2010 25,356 38,908 Mar 29, 2017 #14 Wasambaa wenyewe wanaita ushotoo
white hat JF-Expert Member Dec 16, 2016 3,321 2,490 Mar 29, 2017 #15 lushoto hiyo hizo kona acha tu watu wanatapikaga sana
B Balacuda JF-Expert Member Mar 8, 2013 1,389 713 Mar 29, 2017 #16 Hapo ni maeneo ya Ikulu ndogo karibu na costi maeneo ya Magamba
Midumare Ngatuni Iwato JF-Expert Member Jul 13, 2016 1,653 2,042 Mar 29, 2017 #19 Hakuna sehemu zakutisha kama lushoto