Bei ya Mahindi katika kila mkoa

Kuna mtu katoka Kasanga jana.. anasema mahindi mapya gunia ths 30,000/= ila ni yale mahind yamekomaa wakapukusua ndo wakaanika.. sio yaliyokomaa na kukaukia kwny kiguz na bua lake. Hayo yamewaishwa kidogo..

Kasanga ipo kilosa Morogoro. Unapitia njia ya mikumi.. kwa pikpik tsh 15,000/= kwa bus tsh 5000/= nauli hii ni kuanzia mikumi..
 
Yeah mkuu
Na Uko ndiko iliko msolwa sekondari school
 
Kuna mtu katoka Kasanga jana.. anasema mahindi mapya gunia ths 30,000/= ila ni yale mahind yamekomaa wakapukusua ndo wakaanika.. sio yaliyokomaa na kukaukia kwny kiguz na bua lake. Hayo yamewaishwa kidogo..

Kasanga ipo kilosa Morogoro. Unapitia njia ya mikumi.. kwa pikpik tsh 15,000/= kwa bus tsh 5000/= nauli hii ni kuanzia mikumi..

Mkuu hii kitu yamahind ya kupasua na kuanika yana tofaut gan na yale ya kukaukia kwenye bunzi !?
 
Back
Top Bottom