Shule nzuri, Moshi Mjini/Rombo O-level

BOD

JF-Expert Member
Oct 13, 2016
222
164
Hongereni na majukumu wanajukwaa!
Ninahitaji kujua shule nzuri ambayo ina kituo/darasa kwa ajili ya reseaters mtihani wa kidato cha nne kwa masomo yote lkn hasa sayansi ndani ya Moshi mjini/Rombo na inafaulisha vizuri.
 
lkn pia iwe inatoa huduma ya boarding , na gharama zake ziwe wastani.
 
Nenda Shauritanga ., Ipo Rombo mashati....., Huduma kwa day students na boarding students pia bei nafuu tu
 
Nenda Shauritanga ., Ipo Rombo mashati....., Huduma kwa day students na boarding students pia bei nafuu tu
unaweza kuwa unajua gharama zake hls mkuu?? kwa mwk kwa anaehitaji kukaa board??
 
Back
Top Bottom