Kilemachocho
JF-Expert Member
- Feb 19, 2016
- 560
- 366
- Thread starter
- #21
Mkuu mimi nilikuwa nakaa block la kwaza huku bararani ukitokea uwanjaniInawezekana mimi nilikuwa naishi area J block 12
Mkuu mimi nilikuwa nakaa block la kwaza huku bararani ukitokea uwanjaniInawezekana mimi nilikuwa naishi area J block 12
Block la kwanza kabisa upande wa kulia ukitokea kule uwanjaniArea j block number ngap mkuuu???? Mimi nimekaaa area c japo area j nimecheza sana huko
Kipindi yule jamaa anampiga kwa bahati mbaya risasi mwenzie na kumuua ulikuwepo.???Inawezekana mimi nilikuwa naishi area J block 12
Nawaona nawaona!
Ahaaà[emoji2] huo umoja wanafunz wamesoma shule ya msingi miramboNawaona nawaona!
hahahahahahha nimecheka kama mazuri, ndo maana tukasema watoto muwe mnalala mchanaDuh, humu ni wazee tupu
Baadhi yao nawafahamu! japo miaka mnayoitaja wengine hata kuita mama hatukuweza!Ahaaà[emoji2] huo umoja wanafunz wamesoma shule ya msingi mirambo
Hio shule siijui ila, nilikua na rafiki zangu wa mtaa mmoba ndio walikua wanasoma hapo.hahahahahahha nimecheka kama mazuri, ndo maana tukasema watoto muwe mnalala mchana
Wengine hata kuzaliwa bado.Baadhi yao nawafahamu! japo miaka mnayoitaja wengine hata kuita mama hatukuweza!
Si ndio hapo rafik yangu..usikute hiyo 9o ni february halafu unajistukia umezaliwa August au December huko! kuna vijeba mzee!Wengine hata kuzaliwa bado.
hongeraHio shule siijui ila, nilikua na rafiki zangu wa mtaa mmoba ndio walikua wanasoma hapo.
Mimi nimesoma private school
Kuna watu ni wa long time,Si ndio hapo rafik yangu..usikute hiyo 9o ni february halafu unajistukia umezaliwa August au December huko! kuna vijeba mzee!
ShkamooMi nilisoma hapo mwaka 1967 hadi 1978
Kweli wewe ni nyani ngabu.Mi nilisoma hapo mwaka 1967 hadi 1978
We utakuwa ulisoma na Chief Sumu, mahamoudy farjalaMzee kabigi,kinyegori ,mwwlimu julias,mwalum stivin[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] geta mzee wa tableee bila kumsahau mwlm buchwa