ni declare interest, sijawah kuapply idara tajwa....lakini kwa vilio vya walioomba ni wazi kuna tabia ya uhamiaji ilichukua hatam pale zimamoto. ni vema kama tzgov ikaendelea sehem nyingine il haki ictendeke pekee bali ionekane kutendeka kwa wtz wote! over
For future, domestic economy is must! unaweza fiwa na mumeo, sasa umekaa hme tu, who to push life foward? sipend wote waajiriwe bali kujiingiza kwenye biashara ndogo muhimu pia.......over
Ni kweli Michael Richard Wambura anapambana kuhakikisha anapata uongozi Simba.
Wakati akifanya hivyo, kumekuwepo na nguvu za ndani na nje ya Simba SC. kuhakikisha hapati fursa hiyo.
Kutokana na hali hiyo, sasa ni wazi kuwa iwapo atavuka kikwazo cha sasa Simba itapasuka kwani kuna uwekezaji...
wanasema ukiweka riba unayopata ni kati ya 5-6%. sasa ikiwa umeweka 10,000 ukapata riba ya asilimia tajwa ukasema unatoa hiyo hela unakatwa 1500, sawa na 15% ya principle, sasa hapa utakuwa umefanya nini? anyway hii idea ni nzuri just for serving culture which is a problem to our society.
zaidi ya yote kakayake, bingu ndiye aliyeanza kukinukisha kwa kuyaruhusu makampuni ya uk kutafiti wese na gas na kumwachia joyce zigo, huenda peter akaendeleza ......
1. serikali kutumia makomandoo
2. serikali kuweka camera jijini kunasa wezi
3. serikali kufanya doria
yote ya nini kwani wezi ni shemeji, ndugu wa serikali hata waambiwe kwanza ili wajifiche?
yanayoendelea Nigeria, wasichana zaidi ya 200 kutekwa, watu kuuawa, nyumba kuchomwa moto huku Nigeria ikitangazwa taifa lenye uchumi mkubwa, je Goodluck Jonathan ana uhalali kuwa rais wa taifa hilo la Africa Magharibi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.