Esther Bulaya aanza kupigwa vita

Esther Bulaya aanza kupigwa vita

Wazzira ni nyani wazee hili sio jitu la kutuongoza hata kidogo.
 
Chezea Tyson weye!Wassira muuaji

ndio maana tunakataa wakuu wa wilaya na mikoa coz hawana kazi zaidi ya kutumika vibaya na chama tawala. tuondoe wakuu wa wilaya na mikoa tuboreshe hospital, school even kugharamia serekali 3.
 
Sasa Wassira kipima joto kama hicho tayari pumzi zimemwishia, anaanza kutumia mashine! Halafu eti anajigamba anaweza kupambana na CHADEMA! Eti naye anafikiria kuwa rais! What a disgrace to our presidency institution jamani!

Bila dola CCM hawawezi kufanya siasa ya ushindani na wakashinda mahali popote. Bila shaka wanazidi kujiumbua.

Waziri mzima ametolewa jasho...no wonder alirudi CCM baada ya Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere kufariki. Watu wasio na uwezo na waso wasafi kama yeye wasingefikiria kugombea ubunge achilia mbali kuwa eti waziri na eti kufikiria kuwania urais! Shame on CCM!

Ni ajabu sana kama UKAWA wanataka kumsimamisha yule Babu alie jichokea katibu mkuu wa chadema awe Rais! Hahahaha mwenyewe kaisha na kimkono chake kibovu!
 
Mkuu wa wilaya ya Bunda amepiga marufuku michuano ya kombe la mpira wa miguu iliyodhaminiwa na Esther Bulaya ITV imeripoti.Chama cha mpira wa miguu wilayani Bunda kimeiambia ITV kimepokea barua ya kusimamisha michuano hiyo kutoka kwa mkuu wa wilaya bila sababu zozote.Akihojiwa na ITV mkuu huyo wa wilaya alisema kwa mkato viongozi wa CCM hawaruhusiwi kusimamia michuano kama hiyo.
Esther Bulaya amekuwa akipigwa vita na viongozi wa chama chake CCM na hivi karibuni amekuwa mwiba kwa chama hicho kutokana na msimamo wake wa kudai serikali 3 kinyume na msimamo wa chama chake.Pia mbunge huyo ametuhumiwa mara kadhaa kuwa anatumiwa na CHADEMA.

lakin kuna logic, tuache siasa. fifa na tff washakataza hii kitu. ijulikane kuwa ikiwa bulaya anaweza kuandaa, wasira anaweza. mnyika, zitto nk.
 
Sasa Wassira kipima joto kama hicho tayari pumzi zimemwishia, anaanza kutumia mashine! Halafu eti anajigamba anaweza kupambana na CHADEMA! Eti naye anafikiria kuwa rais! What a disgrace to our presidency institution jamani!

Bila dola CCM hawawezi kufanya siasa ya ushindani na wakashinda mahali popote. Bila shaka wanazidi kujiumbua.

Waziri mzima ametolewa jasho...no wonder alirudi CCM baada ya Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere kufariki. Watu wasio na uwezo na waso wasafi kama yeye wasingefikiria kugombea ubunge achilia mbali kuwa eti waziri na eti kufikiria kuwania urais! Shame on CCM!


Mbona chadema mshachakaa?

chopa 3 kata 3????
 
Mkuu wa wilaya ya Bunda amepiga marufuku michuano ya kombe la mpira wa miguu iliyodhaminiwa na Esther Bulaya ITV imeripoti.Chama cha mpira wa miguu wilayani Bunda kimeiambia ITV kimepokea barua ya kusimamisha michuano hiyo kutoka kwa mkuu wa wilaya bila sababu zozote.Akihojiwa na ITV mkuu huyo wa wilaya alisema kwa mkato viongozi wa CCM hawaruhusiwi kusimamia michuano kama hiyo.
Esther Bulaya amekuwa akipigwa vita na viongozi wa chama chake CCM na hivi karibuni amekuwa mwiba kwa chama hicho kutokana na msimamo wake wa kudai serikali 3 kinyume na msimamo wa chama chake.Pia mbunge huyo ametuhumiwa mara kadhaa kuwa anatumiwa na CHADEMA.
Very cheap politics,Esther can't be stopped cheap like that,she's a true daughter of BUNDA,you will do bad things to stop her!won't help wana BUNDA don't need a sleeping MP who can't follow parliament proceedings,they need a vibrant MP,keep it up my sister don't give up,hata ikibidi kwa chadema!just in case....
 
Ya ccm vituko tu. 2010 walileta handsome 'ajiita dume la mbegu' akachaguliwa na wanawake wengi....this tme around wanataka kufanya kinyume chake maana waneona uongozi si sura.
 
Very cheap politics,Esther can't be stopped cheap like that,she's a true daughter of BUNDA,you will do bad things to stop her!won't help wana BUNDA don't need a sleeping MP who can't follow parliament proceedings,they need a vibrant MP,keep it up my sister don't give up,hata ikibidi kwa chadema!just in case....

We utakuwa Bulaya mwenyewe kama sikosei
 
ndesamburo wa chadema ndio alikuwa mwanasiasa aliyesimama frontline kumtetea babu wa loliondo. Mpaka alitoa magari yake na helkopta ipeleke watu wakapate kikombe.

Mkuu babu wa Loliondo aliteka akili za wengi sana hebu ona na wengine hawa hapa
ImageUploadedByJamiiForums1399068062.695153.jpg
 
lakin kuna logic, tuache siasa. fifa na tff washakataza hii kitu. ijulikane kuwa ikiwa bulaya anaweza kuandaa, wasira anaweza. mnyika, zitto nk.

Tuache siasa kwa vipi wewe? Timing ya uamuzi ndiyo inasababisha maswali mengi yasiyo na majibu Mkuu
 
wassira hawezi kushinda tena ubunge kule bunda ndio beef zote hizi anazitengeneza.
Hata mimi nashangaa!!!! kweli wananchi wa Bunda zimewaruka mpaka wanamchagua mtoro, aliyeikosesha mabilioni nchi yetu ambayo yangetokana na utalii kule Gombe. Haki ya nani! wananchi wa Bunda tafadhali mwaka kesho msifanye makosa tena mrudisheni huyu jamaa kunakostahili.
 
Wanabodi,

Katika pita pita yangu viunga fulani hapa mjini Dodoma, nimepita mahali nikukata baadhi ya watu na heshima zao, wakimsifu huyu mbunge kijana wa CCM, Mhe, Esta Bulaya, kuwa amefanya tukio la ushajaa mkubwa katika medani za siasa.

Kwa jinsi nilivyosikia kuhusu alichokifanya mbunge huyu, naomba nikiache kwanza kama tetesi, na nikisha thibitisha, nitarejea kuwapatia ushujaa huo wa Mhe. Esta Bulaya!.

Kwa kusaidia tuu, ni kuwa mbunge huyu, amefanya kitendo fulani cha kishujaa kwa kuweka mbele maslahi ya taifa ambapo amesimama kuhesabiwa miongini mwa wabunge wachache wa CCM wenye uchungu wa ukweli na umasikini wa nchi hii, kinyume cha wengi wa wabunge wa CCM ambao wameingia bungeni kwa drive ya njaa zao kutafuta maslahi binafsi badala ya maslahi ya taifa, hivyo wanachosimamia mule bungeni, ni matumbo yao tuu!.

Natafuta uthibitisho wa huo ushujaa wa Mhe. Esta Bulaya, ili tuliingize rasmi jina lake miongoni mwa mashujaa wa taifa hili!.

Tuvute subira kidogo!.

Wasalaam.

Pasco.

Dodoma!.

Kabla ya huo ushujaa, Mhe. Ester Bulaya aliripotiwa hivi humu jf

"Re: Godfrey Zambi na Ester Bulaya bungeni waitabiria CCM yao kuanguka mwaka 2015"



Update 1. jana usiku:
Hatimaye ninepata uthibitisho wa kitendo hicho cha kishujaa cha Mbunge wa CCM, Mhe. Ester Bulaya!.

Licha ya kupata uthibitisho huo, bado kitendo chenyewe sikitaji kwanza mpaka nitakapo pata go ahead ya relevant authorities!.

Sababu pekee ya kuleta hii thread ni kuwajulisha tuu kuwa pamoja na ukweli kuwa CCM imeoza kwa rushwa na ufusadi na wanaitafuna nchi hii kama mchwa, tena wanaiba waziwazi mchana kweupe kama shamba la bibi, ndani ya hao hao mijizi na mifisadi ya CCM, kuna vijana wachache wazuri ambao sio mafisadi na wako tayari kusimama kuhesabiwa!.

Wengi wa wabunge wa CCM wameingia bungeni sio ili kuwatumikia wananchi, bali kujineenesha wao na matumbo yao hivyo mule mjengoni wao wako kutetea maslahi yao!, lakini miongoni mwao, wamo wachache walioingia mle kutetea maslahi ya taifa na Mhe. Ester Bulaya yuu mmoja wao!.

Nitamalizia hivi punde na kitendo chenyewe cha ushujaa wa mbunge huyu!.

Kwa wale wenye mcheche sana, samahani sana endeleeni kuvuta subra!. Good things hazihitaji haraka wala papara!.

Sababu ya kupost kabla ya uthibitisho ni kuhakikisha wewe kama mwana jf, be the first to know!.

Mfano news za Nundu kwenye TV zote leo na kwenye magazeti yote ya kesho, is not news anymore kwa sababu jf tumejua kila kitu tangu mchana!

Asanteni tuhifunze zaidi "managing divesity"

Pasco!.

Update 2: Final Update

Confirmed,

Mhe. Ester Bulaya ndie mbunge mwanamke kijana na shujaa wa CCM aliyesaini petition ya Mhe. Zitto kupiga kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu.

Wabunge kutoka CCM jumla ni 6 wakiongozwa na shujaa Mhe. Deo Filikunjombe. Jee kwa nini Ester ndio anayestahili pongezi mpaka kumuita shujaa!.

Kati ya wote waliosaini, wengine wote ni wabunge wa majimbo isipokuwa Ester yeye ni mbunge wa hisani wa CCM!. Kitendo cha kutoogopa hisani na kusimama kuhesabiwa ni kitendo cha ushujaa wa hali ya juu!.

Wenzake wote waliosaini ni watu wenye shughuli zao nyingine, ubunge kwao ni utumishi tuu kwa wananchi, hivyo kwao lolote liwalo, if anything happens to them in CCM, they have nothing to loose and everthing to gain from CCM, lakini kwa Ester kwake CCM ndio baba CCM ndio mama, if anything happens to Ester huko CCM, she has everthing to loose and nothing to gain from CCM!.

She has the guts to say no nonse!. Kuna wabunge wengi wa CCM akiwemo January ambao tuliwaona kama mashujaa, kitendo cha kutomuunga mkono Zitto ni uthibitisho tuu kuwa they are barking dogs only, seldom bite!. They don't have the guts to say no to nonsense!.

Nawaombeni wanabodi wenzangu, mhesabuni Mhe. Ester Bulaya miongoni mwa mashujaa 76 wa taifa kwenye orodha ya Zitto na jina lake liingizwe kwenye list ya mashujaa ambao mwaka 2015 wata team up na timu ya ushindi kuelekea kwenye ukombozi wa pili wa taifa letu!.

Kwa wale ambao mtatofautiana na mimi kwenye dhana ya ushujaa, naheshimu mitazamo yenu.

Hongera sana Mhe. Ester Bulaya, CCM watakunyanyapaa, CCM watakutenga, Watanzania watasimama na wewe, na Mungu atakutangulia kunyoosha mapito yako!.

Ubarikiwe Sana!.

Pasco.
Wanabodi, katika pita pita yangu humu jf, leo nimekutana na hii kitu
Mkuu wa wilaya ya Bunda amepiga marufuku michuano ya kombe la mpira wa miguu iliyodhaminiwa na Esther Bulaya ITV imeripoti.Chama cha mpira wa miguu wilayani Bunda kimeiambia ITV kimepokea barua ya kusimamisha michuano hiyo kutoka kwa mkuu wa wilaya bila sababu zozote.Akihojiwa na ITV mkuu huyo wa wilaya alisema kwa mkato viongozi wa CCM hawaruhusiwi kusimamia michuano kama hiyo.
Esther Bulaya amekuwa akipigwa vita na viongozi wa chama chake CCM na hivi karibuni amekuwa mwiba kwa chama hicho kutokana na msimamo wake wa kudai serikali 3 kinyume na msimamo wa chama chake.Pia mbunge huyo ametuhumiwa mara kadhaa kuwa anatumiwa na CHADEMA.
Haya niliyaandika Aprili, 2012, leo ni 2014, mwaka mmoja tuu kabla ya 2015, mambo Tarime yameanza!.

Mhe. Esta Bulaya!, endelea kusimama imara, usitetereke wala usikatishwe tamaa na haya yanatokea, hata enzi za Daudi, mambo yalikuwa ni makubwa kuliko haya na Goliati alianguka!.

Pasco
 
Back
Top Bottom