Kagame na Kikwete wazidi kukwepana

Kagame na Kikwete wazidi kukwepana

Rais Kikwete wa Tanzania na Rais Kagame wa Rwanda wameendeleza mizengwe ya kukwepana.Ikumbukwe Rwanda iliazimisha miaka 20 ya mauaji ya kimbari marais wote wa EAC na viongozi wa mataifa mbali mbali walihudhuria kumbukumbu hiyo isipokuwa Rais Kikwete alikimbilia kijijini kwake kumpigia kura mwanae Riziwan Kikwete aliyekuwa akiendeleza sera za usultan Bagamoyo.

26 April 2014 Tanzania ilisherekea miaka 50 ya muungano wa kisanii baina ya Tanganyika na Zanzibar marais wote wa EAC pamoja na wageni wengine mashuhuri toka sehemu mbali mbali walihudhuria sherehe hizo zilizotamalakiwa na maonyesho ya silaha za kivita na magwaride ya majeshi yetu ya ulinzi na usalama Rais Kagame alishindwa kuhudhuria sherehe hizo bila kujali Tanzania ilipokea wakimbizi wengi sana toka Rwanda kipindi cha machafuko.

Juzi yaani tarehe 30 April - 1 May 2014 wakuu wa nchi za EAC walikuwa na kikao cha kawaida mjini Arusha marais wote wa EAC walihudhuria kikao hicho muhimu isipokuwa Rais Kagame akaamua kukimbilia USA kwenye vimkutano vya uchochoroni ili kumkwepa Kikwete akaamua kumtuma waziri mkuu Pierre Damien Hubumuremyi kumwakilisha.

Bila shaka tutaendelea kushuhudia visa na mikasa mingi baina ya Kikwete na Kagame.

ujinga huu waliokutuma walikushauri uanzie kwa mama yako?
 
Yani ktk Rwanda hua nawapenda wanawake wao tu

Mkuu
Sikushauri na hao wanawake wa Kinya-rwanda ni wabaguzi wa kutupa,nilioa mnyarwanda ninajuta hadi Leo, Kuna wakati mwanamke huyo aliwahi kunitamkia kuwa "Nakuona wewe kama muhutu Tu, bora nizae na kaka yangu kuliko kuzaa na wewe". Najuta sipendi na wewe uangamie, wana damu ya kinafiki hao watu. Ni viumbe walio......
 
rais kikwete wa tanzania na rais kagame wa rwanda wameendeleza mizengwe ya kukwepana.ikumbukwe rwanda iliazimisha miaka 20 ya mauaji ya kimbari marais wote wa eac na viongozi wa mataifa mbali mbali walihudhuria kumbukumbu hiyo isipokuwa rais kikwete alikimbilia kijijini kwake kumpigia kura mwanae riziwan kikwete aliyekuwa akiendeleza sera za usultan bagamoyo.

26 april 2014 tanzania ilisherekea miaka 50 ya muungano wa kisanii baina ya tanganyika na zanzibar marais wote wa eac pamoja na wageni wengine mashuhuri toka sehemu mbali mbali walihudhuria sherehe hizo zilizotamalakiwa na maonyesho ya silaha za kivita na magwaride ya majeshi yetu ya ulinzi na usalama rais kagame alishindwa kuhudhuria sherehe hizo bila kujali tanzania ilipokea wakimbizi wengi sana toka rwanda kipindi cha machafuko.

Juzi yaani tarehe 30 april - 1 may 2014 wakuu wa nchi za eac walikuwa na kikao cha kawaida mjini arusha marais wote wa eac walihudhuria kikao hicho muhimu isipokuwa rais kagame akaamua kukimbilia usa kwenye vimkutano vya uchochoroni ili kumkwepa kikwete akaamua kumtuma waziri mkuu pierre damien hubumuremyi kumwakilisha.

Bila shaka tutaendelea kushuhudia visa na mikasa mingi baina ya kikwete na kagame.

mei mosi hakuwa uwanja wa taifa, siku ya wafanyakazi kweli?
 
.. isipokuwa Rais Kikwete alikimbilia kijijini kwake kumpigia kura mwanae Riziwan Kikwete aliyekuwa akiendeleza sera za usultan Bagamoyo.
.
yah, slogan ya Ari mpya, Kasi mpya ililenga kwenye usultani na uintarahamwe!?
 
kagame ninyoka,mwenda mpole ukicheza ana kuhit in light way be far away,with him nomarlly amen,is hajak.
 
mkuu umenichekesha sana japokuwa inauma. yaanai hawajatoa hata ndururu kwenye bunge la katiba. Da!

Wakuu Mwadilifu na mseveni muungano baina ya Tanganyika na Zanzibar umejaa usanii wa hali ya juu nitakutajieni sababu mbili kuu.

1.Muungano ambao mtanganyika akienda Zanzibar hana tofauti na mgeni toka Kenya au Sudan.
a, Mtanganyika hana haki ya kuchaguliwa au kuchagua viongozi akikanyaga ardhi ya Zanzibar.
b. Mtanganyika hana haki ya kumiliki ardhi ya Zanzibar .
c. Mtanganyika lazima aombe kibali cha ukaazi Zanzibar
d. Mtanganyika hawezi kuajiriwa na SMZ
e. Mtanganyika si chochote si lolote akikanyaka ardhi ya Zanzibar
f. Mzanzibar ana uraia wa nchi mbili,kwanza ana uraia wa Zanzibar pili ana uraia wa Tanzania.
g. Mtanganyika anawajibika kubeba gharama zote za muungano,ulinzi na usalama wazanzibar hawachangii chochote hata hili bunge la katiba Zanzibar haijatoa ndururu.
h. Makusanyo ya kodi upande wa Zanzibar yanabaki huko huko Zanzibar.

Mnaofikiri huu muungano si wakisanii niambieni nini faida za muungano kwa waTanganyika.
 
Mkuu
Sikushauri na hao wanawake wa Kinya-rwanda ni wabaguzi wa kutupa,nilioa mnyarwanda ninajuta hadi Leo, Kuna wakati mwanamke huyo aliwahi kunitamkia kuwa "Nakuona wewe kama muhutu Tu, bora nizae na kaka yangu kuliko kuzaa na wewe". Najuta sipendi na wewe uangamie, wana damu ya kinafiki hao watu. Ni viumbe walio......

Au wewe ndio umeolewa kwa maelezo haya????!!!!
 
Au wewe ndio umeolewa kwa maelezo haya????!!!!

OLESAIDIMU
Hiki ni kisa cha kweli, nimejaribu kuwa muwazi, nisingependa Mtanzania rijali, barubaru,mwenye nafasi yake kifedha na kimaisha,yamkute kama yalivyo nikuta mimi,au wewe unataka kupotosha mada Aibu!!!!
 
Sipati uhusiano wa kuelewana,kupendana,kuvumiliana na hayo unayosema kuwa unaambiwa na mkeo kama kweli ndoa ni makubaliano yanayoungwa na mapenzi basi umeyaoenda na kuyakubali!!!!!!

Otherwise kama umeoa, wewe barubaru,una nafasi kimaisha,una fedha yako bado unabaguliwa na unajuta ila bado uko naye ndio najiuliza au umeolewa wewe??????!!!!

Mimi kwangu aibu ni hii unayoeleza kuliko mimi kuulizia hiyo nature ya ndoa yako!!!
 
Kinachofanya muungano uitwe wa kisanii ni kipi hasa?

Hapa na mimi ndo nimepata kigugumizi kumwelewa mleta mada. Mimi nadhani kitu kama hukipendi hakuna sababu ya kukipakazia. Tunajua kasoro zipo, ni suala la kawaida kwa vile binadamu hajakamilika, kwa hiyo ni suala la kukaa na kurekebisha hizo kasoro lakini sio kuwapakazia walioubuni.
 
kagame ninyoka,mwenda mpole ukicheza ana kuhit in light way be far away,with him nomarlly amen,is hajak.

Nakubaliana na wewe 100%. Kagame si binadamu yule, ni zaidi ya mnyama. Anaua hata ndg zake ilimradi awanyamazishe ili apate kutawala kwa raha. EAC walikosea kumkubalia kujiunga. Ni wa kutengwa huyu
 
Wakuu Mwadilifu na mseveni muungano baina ya Tanganyika na Zanzibar umejaa usanii wa hali ya juu nitakutajieni sababu mbili kuu.

1.Muungano ambao mtanganyika akienda Zanzibar hana tofauti na mgeni toka Kenya au Sudan.
a, Mtanganyika hana haki ya kuchaguliwa au kuchagua viongozi akikanyaga ardhi ya Zanzibar.
b. Mtanganyika hana haki ya kumiliki ardhi ya Zanzibar .
c. Mtanganyika lazima aombe kibali cha ukaazi Zanzibar
d. Mtanganyika hawezi kuajiriwa na SMZ
e. Mtanganyika si chochote si lolote akikanyaka ardhi ya Zanzibar
f. Mzanzibar ana uraia wa nchi mbili,kwanza ana uraia wa Zanzibar pili ana uraia wa Tanzania.
g. Mtanganyika anawajibika kubeba gharama zote za muungano,ulinzi na usalama wazanzibar hawachangii chochote hata hili bunge la katiba Zanzibar haijatoa ndururu.
h. Makusanyo ya kodi upande wa Zanzibar yanabaki huko huko Zanzibar.

Mnaofikiri huu muungano si wakisanii niambieni nini faida za muungano kwa waTanganyika.

Ngongo kwa sababu hizo, kusema kweli upo sahihi kusema ni wa kisanii endapo kama haya yote uloeleza ni kweli tupu. Inaonekana wenzetu wa Zanzibar wana choyo na nchi yao dhidi ya watanganyika. Kuna haja ya kurekebisha haya haraka sana, vinginevyo huu muungano hauna faida kwa mtanganyika.
 
Wakuu Mwadilifu na mseveni muungano baina ya Tanganyika na Zanzibar umejaa usanii wa hali ya juu nitakutajieni sababu mbili kuu.

1.Muungano ambao mtanganyika akienda Zanzibar hana tofauti na mgeni toka Kenya au Sudan.
a, Mtanganyika hana haki ya kuchaguliwa au kuchagua viongozi akikanyaga ardhi ya Zanzibar.
b. Mtanganyika hana haki ya kumiliki ardhi ya Zanzibar .
c. Mtanganyika lazima aombe kibali cha ukaazi Zanzibar
d. Mtanganyika hawezi kuajiriwa na SMZ
e. Mtanganyika si chochote si lolote akikanyaka ardhi ya Zanzibar
f. Mzanzibar ana uraia wa nchi mbili,kwanza ana uraia wa Zanzibar pili ana uraia wa Tanzania.
g. Mtanganyika anawajibika kubeba gharama zote za muungano,ulinzi na usalama wazanzibar hawachangii chochote hata hili bunge la katiba Zanzibar haijatoa ndururu.
h. Makusanyo ya kodi upande wa Zanzibar yanabaki huko huko Zanzibar.

Mnaofikiri huu muungano si wakisanii niambieni nini faida za muungano kwa waTanganyika.
Mkuu, Ngongo, hata mimi niliwashangaa waliokubeza kwenye hilo, shida 1 kubwa ya Watanzania wengi ni unafiki, hatupendi kusema kilichoko moyoni, tunapenda kuongea lolote hata kama hicho tunahokiongea sisi wenyewe hatukiamini, kuna mtu kweli tena mwenye akili timamu kabisa anaweza kusema muungano wetu sio wa kisanii? Mbona hata sisiemu wenyewe wana kiri hilo? Angalia maoni kwa tume ya katiba toka ofisi nyeti za serikali kwa Warioba, mfano ofisi ya Bunge (Spika hapa wala asitudanganye), TV zilimwonesha kabisa akipendekeza liwepo bunge la Tanzania Bara, hivi hiyo maana yake ni nini kama sio serikali 3? Ofisi ya waziri mkuu, ofisi ya makamu wa kwanza wa raisi n.k. Wakati wanatoa hayo maoni hawakutegemea kama wangeumbuliwa, walisema kilichoko mioyoni mwao, wakiwa pamoja wanaongea mengine, na hiyo ndio siri ya Watanzania wengi, kusema tusichokiamni, big up Ngongo, muungano wetu ni wa kisanii!
 
Back
Top Bottom