Tanzania to train 1,000 Somali soldiers amid concerns over terrorism backlash

Tanzania to train 1,000 Somali soldiers amid concerns over terrorism backlash

Status
Not open for further replies.
Sitaki bana, wasije hapa. Tumefundisha wanyarwanda, angola, botswana, msumbiji, afrika ya kusini, warundi, wakenya, wakongo, wazimbabwe na tumewakomboa wakomoro, wakongo, washelisheli, msumbiji, waganda n.k. Na hatujapata faida zaidi ya kudharauliwa na kutengwa east afrika. Mi sitaki waje bana.
 
Hii move si nzuri Kikwete lazima atazame kinachoendelea huko Kenya asituletee ugaidi Tanzania kwa kupenda sifa za kijinga.

Tanzania has agreed to train Somali soldiers as part of its efforts to support peace and security in Somalia, but some Tanzanian officials have expressed concern that further involvement in Somali affairs could invite terrorist attacks from al-Shabaab..........

Tanzania to train 1,000 Somali soldiers amid concerns over terrorism backlash - Sabahionline.com
 
Kikwete naye awe na breki kwenye baadhi ya mambo...

Si kila kitu ajiingize kichwa kichwa
 
Kinana anataka kutuponza watanzania, hakuna chetu wala tulichosahau Somalia sasa nyege za nini kuwachokoza Al shabaab za nini?
 
huu sasa upuuzi wa mwisho...natetemeka kwa hasira
watafundishwa watu ambao hawajastarabika namna ya kushika silaha?
vitu vingine sasa vya kuacha
 
Hata mimi nashangaa...nchi ambayo hakuna legitimate leader unamfundisha nani nini?

Hao si watu wakuingilia ugomvi wao kabisa...kila kabila linadai haki ya kutawala Somalia...sasa sijuhi JK ameamua kuchukua upande upi kuupa mafunzo...iwe ni njaa au kujipendekeza ajue watanzania hatutaki kabisa....

huu sasa upuuzi wa mwisho...natetemeka kwa hasira
watafundishwa watu ambao hawajastarabika namna ya kushika silaha?
vitu vingine sasa vya kuacha
 
Duh! naona mumebabaika sana, natumai rais wenu atawaskliza na kusitisha mafunzo, ila kila bomu likilipuka Nairobi huwa mnatuambia tuombe msaada tokea kwa JWTZ, kwamba wao ni mastaa, sasa mbona tumbo joto.

CC: kadoda11 Geza Ulole Bulldog
 
Last edited by a moderator:
Sitaki bana, wasije hapa. Tumefundisha wanyarwanda, angola, botswana, msumbiji, afrika ya kusini, warundi, wakenya, wakongo, wazimbabwe na tumewakomboa wakomoro, wakongo, washelisheli, msumbiji, waganda n.k. Na hatujapata faida zaidi ya kudharauliwa na kutengwa east afrika. Mi sitaki waje bana.

Mkuu, mbona hujawataja Wazanzibar? :frusty:
 
Kwa nini kikwete anapenda kujiingiza kwenye matatizo?
 
Al shabaab hawawezi kufanya operations Tz.

Kenya is our buffer zone.Mbaka wavuke Kenya na kutua bongo tutakuwa tushawagundua

Na kama wakifanikiwa kufanya tukio,watatafutwa mbaka mwisho wa dunia
 
Al shabaab hawawezi kufanya operations Tz.

Kenya is our buffer zone.Mbaka wavuke Kenya na kutua bongo tutakuwa tushawagundua

Na kama wakifanikiwa kufanya tukio,watatafutwa mbaka mwisho wa dunia

Ulimbukweni kabisa kwa maswala ya hawa jamaa. Hawaji kwa malori na magari, humo humo ndani yenu utakuta jamaa fulani wanawapa makazi eti kwa ajili ya kumpigania mungu wao.
 
I don't agree with TZ getting involved on Somalia. There is no reason!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Duh! naona mumebabaika sana, natumai rais wenu atawaskliza na kusitisha mafunzo, ila kila bomu likilipuka Nairobi huwa mnatuambia tuombe msaada tokea kwa JWTZ, kwamba wao ni mastaa, sasa mbona tumbo joto.

CC: kadoda11 Geza Ulole Bulldog

Kama hujui tunachopinga hapa funga domo. Kinachosababisha shida kenya ni ukabila. Ninakuhakikishia kuwa ikitokea masuala ya west gate hapa tutawachinja na si kuwaacha watokee kwenye mtaro na wengine watoke na mateka. Kwanza sijawaji ona eti watu wanne wanasumbua nchi. Jeshi lipo kama wataalam wa ulinzi. Mshikamano wa wananchi na uzalendo ndiyo mfumo bora zaidi wa ulinzi hapa. Kila mtanzania hata km ana asili ya usomali ni ndugu na anampenda mwingine ktk nchi hii. Usimwone simba kalowa.....
 
Hamna!!! jamaa wakianza harakati kwenu mutaadhirika sana maana, toufauti na kwetu ambapo sisi tuna ukabila na mabomu ya Alshabaab yakianza, huwa tunaungana, ila kwenu udini ndio sana, na kwa jinsi Waislamu kwenu hushabikia Alshabaab, watawapa hifadhi sana na kuwashabikia. Muislamu hana uzalendo inapotokea maswala kama haya, wengi wanawashabikia hata Boko haram hata wanapofanya vitendo vya kinyama zaidi kama kuwateka watoto.

Masheikh wametokea huko Tz mara nyingi wakija kuhubiri chuki Mombasa, bahati yao huwa wanatoroka haraka maana wangekua wamepatana na risasi. Tayari nimeona kwa habari mabomu Zanzibar, mbona hizo mmeshindwa kusitisha, itakua Alshabaab wanaojitolea mhanga. Yaani kadoda11 usiombe yaanze huko, nakuhakikishia niyni mutaadhirika sana.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom