Recent content by StayReal

  1. StayReal

    Tujifunze kidogo kuhusu ndege (airplane)

    Mkuu najua wewe ni mtaalamu kwenye haya mambo but reason yako for discontinuation of concord na TU-400 is the least kabisa why zilistopiwa! Mpaka leo bado watu wanajaribu kurudi to supersonic commercial flight but issue bado iko kwenye fuel consumption and sonic boom (noise)! Concorde problems...
  2. StayReal

    Tujifunze kidogo kuhusu ndege (airplane)

    Achilia kuvuja tu mkuu, mvua Naweza kuwa nakosea lakini nadhani Concord zilizuiliwa sababu ya operation costs zilikuwa kubwa sana na 'sonic boom' ilisababisha zipigwe bun nchi kibao na ndio maana kulikuwa hakuna yoyote flying to LA due to lack of ocean flight path.
  3. StayReal

    The first KFC restaurant in Tanzania !

    Uko right kabisa, yani hivi vyakula huku havina deal kabisa lakini wakituletea africa tunapigwa bei ya ajabu and at the same time hatujui madhara yake in our bodies!
  4. StayReal

    Kitambulisho cha Taifa, Passport nini cha muhimu zaidi?

    Mkuu hata mimi nimeshangaa sana National ID ambayo ina expiring date, hii kali!
  5. StayReal

    kuna watu wanajifanya wapo marekani wanatafuta wachumba wa bongo kuweni makini

    Haaahaaaaa, just an observation mkuu!!
  6. StayReal

    show off: MtaaWaSaba.com

    Mkuu umetisha, for once kitu different kabisa, mtotosix blog ndio umeua kabisa!!! Fantastic work!
  7. StayReal

    kuna watu wanajifanya wapo marekani wanatafuta wachumba wa bongo kuweni makini

    Si wanajua vijana wengi bongo wakiambiwa USA tu kwisha kazi coz of most of them believe huku life simple compared to back there!!!
  8. StayReal

    Re: Nisaidieni kazi ya it au electronics

    Mkuu MSC in IT then unatafuta kazi, sijui ulibase wapi but I guess ungekuwa na projects kibao unatafuta watu wa kufund sio unatafuta job, MSC in IT then electronics yani wewe ungekuwa full, electronics kwenye hardware na hiyo IT kwenye software umemaliza. Ushauri wangu, tengeneza projects then...
  9. StayReal

    Startv tanzania live online

    Kwa internet ya kupimiwa bongo, nadhani inaweza kuwa expensive sana. Kwa sisi ambao internet hatupiwi na speed ni ya ajabu huku nje ni burudani tu!
  10. StayReal

    Tunatafuta Fresh Graduate wa degree ya Accounting GPA > 3.6 Second Upper class

    4.2 out of what, kwani bongo perfect GPA ni ngapi?
  11. StayReal

    Thanks Channel Ten,thanks Jenerali on Monday, Kusini na Tanzania inatambua mchango wenu.

    Tuko pamoja mkuu even though some of us tuko nje!
  12. StayReal

    Thanks Channel Ten,thanks Jenerali on Monday, Kusini na Tanzania inatambua mchango wenu.

    Mkuu Big show yani hii inshu lazima mkomae mpaka kieleweke, otherwise your grandchildren watawashangaa sana where you are to protect their interest!
  13. StayReal

    Mke wa Boss aliwa uroda kiaina

    Mkuu mbona hii ni joke ya muda mrefu sana umebadili tu wahusika kuwa wabongo!
  14. StayReal

    Maandalizi Kabambe Kuelekea 2015

    Huyu jamaa anajipanga balaa!
  15. StayReal

    Asilimia 85 ya wanaume wa kitanzania waishio ulaya wameolewa

    Usiwe na wasiwasi kama unawaleta kusoma watasoma tu bila shida. Tatizo ni wale wanaokuja kuja huku bila plan on how they will survive here ndio wanajikuta kwenye matatizo kama hayo, sio Tanzania pekee ni tatizo la nchi zote, kuna watu huku yani hata matatizo yakitokea home hawezi rudi home...
Back
Top Bottom