Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,209
Go east or west, NANDOS is the best for me..utamu hadi kisogoni na masosi yake, yummmy!!!
Nakuona mtani ha ha ha,
Naona umewapa A nandos, hao wanakubalika kila kona ni watamu sana kuku wao. Lakini hawa KFC kuku wao ukimla moyo unaenda mbio utasema yale mafuta yameenda kuziba mishipa ya damu ghafla