ni kupinga tu hata yale mambo ya msingi. endelea kupinga sijui kutakufikisha wapi? wewe kuwa na passport ndo kinachokupa kiburi? tuache sisi tusio na hiyo passport tuwe na hivyo vitambulisho. wewe baki na hiyo passport na driving license yako
![]()
Kitambulisho cha Taifa nini umuhimu wake kwa walio tayari na vitambulisho vingine vinavyotambuliwa kitaifa hata kimataifa?
Kuna wenye
Kwangu bora nibaki tu na passport yangu ina nafasi kubwa zaidi ya kitambulisho cha Taifa. Kitambulisho cha Taifa hakitanivusha customs pale airport au Sea Port.
- Passport ambayo humvusha nje ya Tanzania
- Kitambulisho cha mpiga kura nacho kinaonyesha uzawa wa mwenye kumiliki
- Driving licence nisingependa kukiambatanisha na vitambulisho vya kitaifa kwa sababu hata asiye raia anaweaa kupata.
Je, wenzangu mnasemaje kuhusu hili?