we una ngapi?aiseee wengne wana za chupi muhim n utendaji
sent from my blackberry 9790 using jamiiforums
halafu anajifanya kasoma sciencehongera, kumbe ba kiswahili gpa zenu kubwa hivyo, ningejua ningesoma hiyohiyo!
Acha ungese wako ww, 4ur info nimepiga science since o level til varcity....nina BSc mie ni kipanga by nature!! Ila suite ur self dude
hahahahah watu wenye GPA za kuchechemea wanachekesha, someni vijana...ofkozi GPA ni muhimu sana, mie niliitwa kwenye interview ingawa nilikuwa sina cheti cha fomu6( nilikuwa sijakichukua skuli) kutokana na GPA yangu ya 4.2...so gpa ina matter sana!!!
hyo BSc yako labda iwe sayansi kimu,mapishi na ushonaji.halafu acha kutusi watu,ama hadi tusanue ile id yako unayomwagaga uporoto tudhihirishe ulivyo kilaza?
Muungwana akivukwa na nguo huchutama!
Jifunze adabu.
teh teh tehdah hapa nacheka mwenyewe watu mmnavyojibizana ... Any way me niko last year chuo. Ngoja ni maintain my gpa maana mtaa sio mzuri
Nina GPA ya 2.3 Polical sciance & Public adminstration nimeajiliwa serikalini Pia nabiashara zangu za maana tuu Dubai na S. Africa ndo ninabebea mzigo. Ukitaka Simu, Laptop, kamera naelectronic nyingine tutawasiliana. KUFANIKIWA HAKUHITAJI G.P.A. utakufa unasoma weweee
Asantee umemaliza kila kitu!Wewe binadamu ni bonge la intelligent...wabongo nadiriki kusema ni wapumbavu sana, hizi degree zenu za magumashi mtabaki kuwa watumwa tu, na hii imepelekea majority ya wanafunzi kuwa mwabingwa wa kucheat kwenye mitihani kisa wasije kupata gpa ndogo...who said eti GPA na utendaji vinauhusiano? on what grounds? nimefanya shortlisting ya applicants juzi kati, people zina GPA mpaka za 4 plus lakini hata uwezo wa kuandika barua ya kuomba kazi ambayo ina mwonekano wa ki-professionalism hakuna, tumekwenda kwenye zoezi zima la interview aibu tupu, mtu ana masters lakini in the first place uwezo wa kujieleza hana, communication skill poor na huyo huyo ana GPA kubwa ajabu....cha kushangaza kuna vijana wana gpa za kawaida kabisa na wengine ni fresh from college/university wanaweza kujieleza kuliko hao mnaodai mna GPA kubwa na wengine plus work experience ya miaka kibao....Pumbavu zenu sana wabongo, i wish watu wangerudi kupiga course za VETA kuliko huu upuuzi wa degree za magumashi tupu.
GPA yangu personally ni kama ya mzee wa msoga, lakini nimeweza kwenda mpaka international level, mpaka kuvuka border, na nimeweza ku deliver what employer wanted. Sasa sijui mtu anaweza kuniambia kitu gani hapa....upuuzi mtu. Jikiteni zaidi kwenye kuelewa vitu, na si kusoma madesa yenu na kukimbilia kufaulu mitihani tu.
Pole sana graduates wa 21st century na particularly Tanzania.
Wewe binadamu ni bonge la intelligent...wabongo nadiriki kusema ni wapumbavu sana, hizi degree zenu za magumashi mtabaki kuwa watumwa tu, na hii imepelekea majority ya wanafunzi kuwa mwabingwa wa kucheat kwenye mitihani kisa wasije kupata gpa ndogo...who said eti GPA na utendaji vinauhusiano? on what grounds? nimefanya shortlisting ya applicants juzi kati, people zina GPA mpaka za 4 plus lakini hata uwezo wa kuandika barua ya kuomba kazi ambayo ina mwonekano wa ki-professionalism hakuna, tumekwenda kwenye zoezi zima la interview aibu tupu, mtu ana masters lakini in the first place uwezo wa kujieleza hana, communication skill poor na huyo huyo ana GPA kubwa ajabu....cha kushangaza kuna vijana wana gpa za kawaida kabisa na wengine ni fresh from college/university wanaweza kujieleza kuliko hao mnaodai mna GPA kubwa na wengine plus work experience ya miaka kibao....Pumbavu zenu sana wabongo, i wish watu wangerudi kupiga course za VETA kuliko huu upuuzi wa degree za magumashi tupu.
GPA yangu personally ni kama ya mzee wa msoga, lakini nimeweza kwenda mpaka international level, mpaka kuvuka border, na nimeweza ku deliver what employer wanted. Sasa sijui mtu anaweza kuniambia kitu gani hapa....upuuzi mtu. Jikiteni zaidi kwenye kuelewa vitu, na si kusoma madesa yenu na kukimbilia kufaulu mitihani tu.
Pole sana graduates wa 21st century na particularly Tanzania.
Dear JF Members et all,
We are looking for a young and dynamic Accounting graduate from any reputable University with the following attributes:
1. Good taxation (VAT, Corporate tax, PAYE, SDL, W/holding tax etc) knowledge
2. Good knowledge of Debits and Credits (it is not a joke most graduates cannot do this properly)
3. Good understanding of Tanzanian business environment
4. Degree in Accounting (major)
5. GPA of not LESS than 3.6
6. Graduated year 2012
If you have above qualifications please apply confidently to recruitment@sfgroup.co.tz
Please write Subject: Taxation in your email
Deadline is 16/01/2013. Interview is on this Friday 18/01/2013
Ukiona hujaitwa ujue hukubahatika. GPA imewekwa kuchuja applicants.
Thanks na karibuni
we nawe kingereza chenyewe hujui..it means a lot that is why it is there bhana...kha..kweli unayo hiyo 3.6 kweli enh...it means a lot that is why is there.
saccoswapi, nafasi ngapi na jina la taasisi, kampuni au mwajiri
saccos