Ukisikia mpaka Sofia SImba anasema huyu ni 'MWNAUME WA SHOKA' lazima ishituke. Aliongea kama utani lakini. Pesa aliyomwaga Sofia Simba kwenye UW-CCM inatisha. Aliitoa wapi?
Mpango mkakati,....wafanyiabiashara mashuhuri ndani ya nyumba, angalia na mandhari piaView attachment 78099
kwa wale wanaopinga raisi kutoka Kaskazini mwa Tanzania hasa Arusha, Kilimanjaro na Manyara, huyu Lowasa wa CCM anatoka mkoa gani wa kusini? ama watokao Kaskazini wakiwa upinzani ndio hoja?
ushindi huhisabiwa mwishoni mwa mchezo lakini raha ya mchezo ni kipindi chote cha mchezo! Mwachieni nae ajisikie raha ya kugombania hata akishindwa huko mbeleni.
Alimwaga sh. ngapi?
dau lake linaeleweka na linakotoka linafahamika pia......chezea mtandao wa nipe nikupe weweSina uuhakika na kiasi alichomwaga, ila ni very substantial, kwa sababu kila aliyekuwa anahongwa ilikuwa ni laki 5 (kwa mujibu wa mjumbe mmoja ambaye alikuwepo kumchagua), na alihonga kwa kificho kiaina kwa sababu vijana wa Takukuru walikuwa beneti nae sana.