Mke wa Boss aliwa uroda kiaina

Mke wa Boss aliwa uroda kiaina

Hii bana mkuu umeteleza kwenye povu km anavyosemaga Mpoki.
Ume Copy na ku Paste!
Lol!
Samahani lakini.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Nilishaisoma hii kule kwenye jukwaa la utani. Sitoi ushauri wowote.
Tehe ni kweli bana. Tena ishakuja mara kibao tu hapa JF. Mwambie jamaa akachukue maushauri kwenye jukwaa la udaku. Kule ilikuwa 1m jamaa naona kaifanya ikawa 3m ili tuone tofauti.
 
Kabisa, kwani kumla oroda mke (awe wa bosi au wa maskini) ni news? Ni mara ngapi tumewala oroda wake za watu na maisha yakaendelea bila kuhadithiana. Kwani yeye mke wa bosi aliyonayo ni tofauti na ya Housegirl wake? Si ile ile kama ilivyo kwa kila mwanamke? Stori iko wapi hapa?

isee kumbe ilikuwepo kwenye jukwaa la utani sasa mshauri mwambie iko kule hapa sio mahali pake
 
Tehe ni kweli bana. Tena ishakuja mara kibao tu hapa JF. Mwambie jamaa akachukue maushauri kwenye jukwaa la udaku. Kule ilikuwa 1m jamaa naona kaifanya ikawa 3m ili tuone tofauti.

haya pia ni maajabu yanayopatikana tanzania. Tuendeleze utalii wa ndan km huu wa kutoa stori jukwaa moja na kuhamishia jukwaa lingine.
 
kwahiyo sasa hivi...huyu jamaa ndo...mjanja ama inakuaje sasa...!
 
ebu nitafutie huyo kijana nimpe laki tatu kwa kazi nzuri aliyofanya...tunahitaji vijana kama hao kuwavegeda hawa wanawake.....huyo mama makidai akubali ameliwa sasa cha kufanya ni kuendelea kuliwa papuchi na huyo dogo alafu amuwekee tego
 
umeicopy hii ukabadili bila kua acknowledge source
 
hivi ukiliwa zigo lazima upewe hela?
Ngoja niweke 'price tag'
 
Mkuu mbona hii ni joke ya muda mrefu sana umebadili tu wahusika kuwa wabongo!
 
hmmm huyo mwanamke nae so mjanja..:A S angry:
 
Back
Top Bottom