Recent content by Statesmann

  1. Statesmann

    JamiiForums Tanzania Wanajamvi nisaidieni YU WAPI ZEBEDAYO aliyekuwa akitembea na Mwalimu mwakasege kwenye Semina mbalimbali?

    Mwakasege naona bado ameishinda tamaa ya kuanzisha kanisa lake
  2. Statesmann

    JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda huwa ana tatizo gani? Kwanini anaogopwa sana?

    Sheikh Ponda namkubali sana
  3. Statesmann

    JamiiForums Tanzania CV ya straika mpya matata sana wa Yanga SC

    kwani usajiri bado unaendelea?
  4. Statesmann

    JamiiForums Tanzania Biden atashinda, Trump is done

    hahaa hadi kuna baadhi ya watangazaji kwenye media za bongo niliwahi kuzisikia wanasema hivyo hivyo 😅
  5. Statesmann

    JamiiForums Tanzania Biden atashinda, Trump is done

    Hii electoral college Wabongo wengi huwa inatupiga chenga kuielewa
  6. Statesmann

    JamiiForums Tanzania Biden atashinda, Trump is done

    Mimi naamini Trump anashinda japo sina sababu yoyote.
  7. Statesmann

    JamiiForums Tanzania GE2020 Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu atinga Kariakoo kutafuta mahitaji

    mbona mchoraji anamdhalilisha Lissu kamchora ana masikio makibwa n.a. mwili wa nyani ana maana gani?
  8. Statesmann

    JamiiForums Tanzania GE2020 Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu atinga Kariakoo kutafuta mahitaji

    Namkubali sana mnyampaa Lissu ila sikubaliani naye kutafuta cheap popularity sokoni kariakoo mara kupanda mwendo kasi huo ni upuuzi wanafanyaga CCM
  9. Statesmann

    JamiiForums Tanzania FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    kwahyo Barca haijasajili beki ya kati? tumeridhika na babu pique na lenglet 🤔🤔
  10. Statesmann

    JamiiForums Tanzania PANYA-Kutoka kuzoeleka kama mnyama mharibifu mpaka mnyama Maarufu

    mdau unasifia panya kabisa? kwa uharibifu anaoufanya panya shamban na ndani ya nyumba ingekuwa amri yangu ningewaangamiza panya wote ulimwenguni
  11. Statesmann

    JamiiForums Tanzania Yanga Yafanya 'Maangamizi' Ya Kimbari,yamlamba KMKM 2-0.

    Utopolo wazee wa goli moja chali naona mlijibust na vumbi la kongo mkapiga viwili 😂😂
  12. Statesmann

    JamiiForums Tanzania Jana nimeng'atwa na nyoka mguuni!

    Duh hatari sana amekupiga chenga mno ila ungetupia na kapicha
  13. Statesmann

    JamiiForums Tanzania Bodi ya ligi mpaka leo hawajui kupanga ratiba

    kuna timu inaitwa sumbawanga
  14. Statesmann

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya vituo vya soka (Technical centers)?

    mbona vyote wanajenga karibu tanga na kigamboni? kwanini wasivitawanye kimoja wakajenga Mbeya au Mwanza au Arusha au hata Dodoma
Back
Top Bottom