Abby Newton
JF-Expert Member
- Nov 12, 2017
- 1,227
- 2,197
Hivi karibuni TFF wametiliana saini na mkandarasi wa kichina kujenga vituo vya michezo kule kigamboni na Tanga. Naomba wataalamu wa michezo mnisaidie nini maana ya hivi vituo? Je ni sawa na Academy za michezo km Alliance au kuna utofauti?
Kutokana na ubora wa miundo mbinu na viwanja vyake , itawezekana kutumika kuchezea mechi za ligi?
Nawasilisha.
Kutokana na ubora wa miundo mbinu na viwanja vyake , itawezekana kutumika kuchezea mechi za ligi?
Nawasilisha.