Biden atashinda, Trump is done

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,110
115,899
Imebaki wiki tatu lakini naamini Biden keshashinda na Trump keshashindwa.

Nimeangalia factors tofauti

1. Pesa -- siku zote mgombea anaeweza changisha hela nyingi anashinda. Biden kamzidi Trump kwa mbali

2. Swing states -- Ohio na Florida kote Biden ana-lead.

3. Pandemic -- Hili mradi ni main news Trump hawezi shinda.

Naona Biden atakuwa new President. Trump is done!
 
Nikikumbuka hillary Clinton alivyokuwa anaonekana atamshinda Trump, na bado akafeli.

Nina uhakika hata huyu Biden atafeli pia

Trump anajua kucheza na wapiga kura muhimu.

Trump mjanja mjanja. Hata watu wanashangaa enzi zake za utoto after high school alipataje nafasi ivy league university wakati hakuwa na vigezo vya ivy league
 
Kipindi kile Cha 2016 pamoja na kwamba Clinton alipewa nafasi ya kushinda lakini kwenye kura za maoni walikuwa wanazidiana kidogo sana ukilinganisha na mwaka huu. Pia kipindi kile Trump alikuwa hajapimwa kwenye uongozi.

Kwa Sasa tayari alipewa miaka minne na analaumiwa na wengi hasa kwa kushindwa kudhibiti korona ndani ya Marekani, pamoja na the way he act as a president.
 
Nikikumbuka hillary Clinton alivyokuwa anaonekana atamshinda Trump, na bado akafeli.

Nina uhakika hata huyu Biden atafeli pia

Trump anajua kucheza na wapiga kura muhimu.

Trump mjanja mjanja. Hata watu wanashangaa enzi zake za utoto after high school alipataje nafasi ivy league university wakati hakuwa na vigezo vya ivy league

Hillary hakuwahi kuwa na lead zaidi ya asilimia 50..Trumpa waliokuja kumpa ushindi ni undecided voters. Halafu hata Hillary alishinda popular votes. Alimzidi Trump kura milioni 2

Sasa Trump aliibukia majimbo ambayo Biden now anaongoza zaidi ya asilimia 7

Trump Hana pa kupita this time
 
Hillary hakuwahi kuwa na lead zaidi ya asilimia 50..Trumpa waliokuja kumpa ushindi ni undecided voters..
Halafu hata Hillary alishinda popular votes
Alimzidi Trump kura milioni 2

Sasa Trump aliibukia majimbo ambayo Biden now anaongoza zaidi ya asilimia 7
Trump Hana pa kupita this time
Really? Unaongea kwa ‘kujua’ au ‘kusadiki’ tu?

Mimi sijui atayeshinda. 2016 nilidhani Trump wala asingepata nomination. Lakini akapata. Baada ya kupata nikasema kuwa game over, Hilary anashinda kiulaini.

Then what happened?

By the way, unaweza kunielezea kuhusu hii opinion poll ya Time magazine iliyoonyesha kuwa Hilary atashinda au yuko ahead kwa asilimia 14? Hilary 51% na Trump 37%. 51% siyo zaidi ya 50?

Hillary Clinton Leads Donald Trump by 14 Points Nationally in New Poll

Na hapo sijataja conspiracy theory ya kwamba eti Rais wa Marekani huchaguliwa na ka kikundi ka watu wachache walio mafichoni 🤣.

Anywho, hiyo kura ya maoni ya Time magazine ilitoka October 2016. Huu ni mwezi gani vile? December?
 
Tujikumbushe kidogo. Hii ni kura ya maoni iliyo toka siku 12 kabla ya uchaguzi wa 2016.

Hillary Clinton has widened her lead over Donald Trump, polling 14 percentage points ahead nationally, according to a new Associated Press-GfK poll, which comes 12 days before the presidential election.

Conducted after the final presidential debate, the poll finds the Democratic nominee leads Trump among likely voters 51% to 37%, a significant lead over the Republican candidate.

Source: Hillary Clinton Leads Donald Trump by 14 Points Nationally in New Poll
 
Back
Top Bottom