Uchaguzi 2020 Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu atinga Kariakoo kutafuta mahitaji

Wamachinga wana mwangalia tyuu lakini wanajua alowafanya leo wana kula bata na kueni wapole 28 bado 20 days tyuu

Magu atapita kwa kishindo hamta amini
 
Kwa maoni ya baadhi mtandaoni huyo jamaa ndiye Rais Ajaye...lakini mitaani anaonekana kituko kwa wengi...amejipunguzia kura Sana...
Tunawasikia sana huku mtaani wale CCM original
 
Wananchi wa kawaida wanajua kavunja sheria ya ya tume na hivyo kumuona mkaidi wanaojua kama hajakosea ni wasomi wachache ambao wengi wao hata kupiga kura huwa hawaendi!!!! si rahihi kukuta wakili au jaji kapanga foleni anapiga kura.Kundi analotaka kulionyesha ni much know halina impact sanduku la kura!!

Watu wa chini ni law abiding wasiotaka mivutano yoyote na serikali .Namwelewa Lisu anataka kujionyesha guru wa sheria kwa kuwa mjeuri wa sheria!!! lakini kwa nani hasa anaotaka kuwaonyesha??? ni wavaa suti wa mahakamani na senior government officials ambao impact yao sanduku la kura ndogo wananchi wa kawaida wanajua kafungiwa ila mjeuri anadharau mamlaka anayetaka kutumia wananchi wa kawaida kama political shield ya ujeuri wake.
Tuliza mshono HIDAYA
 
1325963_IMG-20150824-WA0032.jpg
 
Katika Wakati Wenye madaraka wapo kwenye wakati mgumu ni sasa.

T.Lissu anawachokoza sana wenye madaraka.
 
Chamsingi asiombe kura basi, akitaka aende na jolly club akaongee na madada poa
Nadhani wewe Dar uliondoka kitambo sana... Jolly kwanza ilishakufa kitambo sana na hizo Biashara za Madada poa zilishaisha zaidi ya miaka 10 na iliyopita... Kuna mkipindi mikutano ya kumvua Kikwete Uenyekiti ulifanyika pale kwenye vuta picha Hao madada poa wangetokea wapi
 
Kwenda kwani yeye amewaambia watu wamshangilie
Tafadhali Wana jamii tunataka tuwadharau Akina cremea, bwana jela, bint Lowassa n.k
Hawa ni Familia za wale waliokua wapinzani feki
Wazazzi wamerudi CCM lakini bado Email zao na chat zao zote zinadukuliwa
Kadri wanavyoongea pumba wanafikiri jiwe arawahurumia
Wanatia huruma kwa Unyonge na udhalili katika nchi yao
Watumwa wa jiwe Hawa
Poleni najua bint Lowassa kABadili ID
 
Namkubali sana mnyampaa Lissu ila sikubaliani naye kutafuta cheap popularity sokoni kariakoo mara kupanda mwendo kasi huo ni upuuzi wanafanyaga CCM
 
Wananchi wa kawaida wanajua kavunja sheria ya ya tume na hivyo kumuona mkaidi wanaojua kama hajakosea ni wasomi wachache ambao wengi wao hata kupiga kura huwa hawaendi!!!! si rahihi kukuta wakili au jaji kapanga foleni anapiga kura.Kundi analotaka kulionyesha ni much know halina impact sanduku la kura!!

Watu wa chini ni law abiding wasiotaka mivutano yoyote na serikali .Namwelewa Lisu anataka kujionyesha guru wa sheria kwa kuwa mjeuri wa sheria!!! lakini kwa nani hasa anaotaka kuwaonyesha??? ni wavaa suti wa mahakamani na senior government officials ambao impact yao sanduku la kura ndogo wananchi wa kawaida wanajua kafungiwa ila mjeuri anadharau mamlaka anayetaka kutumia wananchi wa kawaida kama political shield ya ujeuri wake.
We naye unakua ka mwanamke Malaya !!!!
Maneno yote haya ya kazi gani?

Kaiba kwenu?
Kachukua chako ?
Ata asiposhinda wewe unateseka nini ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom