Recent content by starny wa kwanza

  1. S

    JamiiForums Tanzania Wanaume wewe ndo umetongozwa na mwanamke, nini mtazamo wenu katika hili?

    Baada ya apo nikazam mtegon nikakubal mswada mpya...... hahahahah then kuanzia apo ad saiv ni best angu sana though she's not my grl lover ila mswada unaendelezwa kawaida.... inshort kwa karne hii na feel good kuwa approached na grl cz najihic wa kipekee maana had manzi aje akwambie icho ktu...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Wanaume wewe ndo umetongozwa na mwanamke, nini mtazamo wenu katika hili?

    Dah nakumbuka niliwah kutongozwa na dada mmoja ivi wakati tupo chuo mwaka wa mwisho na alimtuma rafiki angu aje kuniambia iyo mbishe,,sasa tatizo moja likaja pale yule dada kaja geto kwangu then akatoa ya moyon mwake yoote nikamuelewa ila alikosea sehemu moja tuu,,, eti namwambia '' nitaaminije...
  3. S

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Wa kubadilishana nae aje wilaya ya msalala shinyanga nami niende kilimanjaro tanga au moro... kwa mawasiliano 0789242015.....idara ya secondary degree
  4. S

    JamiiForums Tanzania MWALIMU: Uliza kuhusu kituo ulichopangiwa

    Wadau nimetupwa wilaya mpya ya msalala mkoan shinyanga vp mwenye idea napo pakoje
  5. S

    JamiiForums Tanzania Sababu za mwili wa Osama kutoonekana baada ya kuuawa

    Aisee mkuu apa niko barubaru ila kwa ufupi tuu marekan ni moja ya taifa nyoko xana dunian....huweza kuandaa trick na ika work out kama watakavyo wao....maelezo mengin nitatoa badae
  6. S

    JamiiForums Tanzania Sababu za mwili wa Osama kutoonekana baada ya kuuawa

    Kwa taarifa za undercapet ni kua osama alikufa mda mrefu xana almost 10 years ago but the issue iliyokuepo mezan ile cku ni kua MAAZIMIO YA KUUNDWA KWA MIPANGO YA ''NEW WORLD ORDER'' ndo yalikua yanafanyika pale kwa mshua white house....sema tuu walichokua wanataka ni kuweka tukio la kusadikika...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Walimu zaidi ya 10000 kukosa ajira

    Ajira 25/4
  8. S

    JamiiForums Tanzania Ajira za Ualimu 2015/2016 zinatoka lini?

    Lol.....tz kweli kuna uhuru wa kila mtu kusema awazalo
  9. S

    JamiiForums Tanzania Ajira za Ualimu 2015/2016 zinatoka lini?

    wote tulisoma education....sa naona wao wanasubir sie ndo tuwape updates....Lol!!!
  10. S

    JamiiForums Tanzania Ajira za Ualimu 2015/2016 zinatoka lini?

    Hivi mbona sijaona wana wa kike wakichangia uku!!!!!!au wao ni special group
  11. S

    JamiiForums Tanzania Ajira za Ualimu 2015/2016 zinatoka lini?

    Hayawi hayawi sasa yamekua.......kitu ichoooooooooo!!!!!! Ingieni moe kila mtu ajue hatima yake
  12. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri wako ni muhimu katika hili

    Although am a man but frankly speak... asirudiane nae kabsaaa maana what goes around comes around.... yan akikubali atajateswa siku za mbelen
  13. S

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Check out what Diego Costa sayed about the Tuesday's accident....... Diego Costa admits he is "no angel" on the pitch but the Chelsea striker is adamant that he has never intended to injure other players. The 26-year-old is currently serving a three-game ban after television replays showed the...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Scholes feels Costa has only reacted to provocation from opposing players and has shown great restraint in not lashing out more often given the abuse he receives on the pitch. "As for Diego Costa, I see it differently to the rest," he wrote in his-London Evening Standard-column. "I thought his...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Point apa ni kwamba sisi Chelsea hatudepend on a single player rather a team work so sina mashaka kesho point tatu zetu
Back
Top Bottom