Ajira za Ualimu 2015/2016 zinatoka lini?

Status
Not open for further replies.
Post hazijachelewa, sema shauku ya kuajiliwa ndiyo inayosukuma ego na kuona kama zinachelewa. From experience ni mpaka wiki ya tatu mwanzoni, 13-16 March,2015, kuanzia hapo ndio suala la kuchelewa litaanza.

Two weeks tangu kutangazwa majina ndio za kujiandaa kuripoti. Basing on political and gvt platform ambapo speech ya PM na DM wa Elimu, ajira possibly zitakuwa out mid-march.

Reporting date ukiondoa mfululizo wa public holidays from 2 April, reporting time will be squezed. Kama huna origin certificates hautapokelewa na Wakurugenzi, kusanya vyeti vyako sasa.
 
hata kupanga..majina na wilaya bado..afu unaongelea kuachiwa..lets wait ndugu zangu..hadi tarehe 15..nadhan ndo wakati muafaka wa kuanza kuleta mijadala..tofauti na hapo..ni rumors tu..!
 
tatizo walimu mkipangiwa vituo kabla hata hamjafika mnataka posho na serikali haina pesa kuweni wapole tu
 
Taarifa ya kuaminika.

Tarehe ya kutoka post ni 15/03/2015 siku ya jumapili saa 6 mchana.

Na kuripoti ni kuanzia tarehe 1 siku ya jumatano kwenye halimashauri uliyopangiwa.

Chanzo.Habari kemkem blog
 
ajira marchi 16 siku ya jumatatu na kuripoti kazini ni kuanzia april 6. Hizi taarifa zimetoka jikoni kwani wizara ili kuwa unasubiri kibali kutoka sekretarieti ya ajira kwa watumishi kwa umma na sasa mambo yapo poa!

Majina yalikuwa yaachiwe mwezi huu lkn wakulu wameona haitakuwa na tija yeyote. Tulieni vijana hadi hiyo march.

Source: wewe amini tu hutaki sikushikii fimbo!

inawezekana ukawa sahihi kwa navyoiona hali ilivyo
 
Mda wote mimi mimacho kwenye tovuti yaaaani situliiiii mara moe,nacte na Tamisemi yaaani natembeleaa hizi tovuti utazani mimi ndonimezitengenezaaaaa
 
tupo wengi aisee watoe tu majina maana mmm mtaani kila aliesoma ed ndio salam ajira umeskia zinatoka lini da hatari sana
 
itakua safi sana maana mmm! tumechoka nahisi siku ya kwanza kuripoti wote tutakua tushafika ata kwa nauli ya mkopo.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom