RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 57,835
- 129,741
Tafadhali lete shauri katika hil, pengine ukanikonvice, nikamshauri na upande wa pili
kama anam-feel amsikilize....kama kashamtoka aendelee tu maisha yake
Tafadhali lete shauri katika hil, pengine ukanikonvice, nikamshauri na upande wa pili
kuna sababu nyingi za mtu kumrudia mtu zaidi ya kuliwa kichwa alipoenda.
poa hebu lete ushauri basi, very serious today nikitoka job naenda kumcheki coz jana kanambia anahitaji kuongea nami
rafiki yangu ametulia sana even mm mwenyewe namkubali, na amini usiamini hakua mtu wa kuomba hela hovyo kwa huyo jamaa hata kidogo na ni mzuri tu ana sifa zote, ila ndo hivyo, kwakweli kumshauri warudiane siwezi ndugu yangu, labda aamue yeye kama yeye
Vipi tena mbona unaongea kwa hasira? Unaonaje ikiwezekana umuulize huyo shemeji yako kwa nini alimpotezea rafiki yako?sababu huwa ni moja tu dharau, na kumpima binti kwa kebehi na binti akijiroga tu kumkubali basi hapo kuna mengi, analiwa na kuachwa forever + kutangazwa nje, HIV + mImBa. nyie sio watu kabisa.