Minja Victor
Member
- Feb 26, 2015
- 36
- 6
Bukombe Geita (Ushirombo) ni moja ya wilaya bora kuliko wilaya zingine za Geita Region. Umeme ndio umefika sasa kwa sababu ya uchaguzi, Maji yapo sema ni kisima, mji umepagwaa vizur kulingana na mitaa, Hospital IPO nzur sana, Vyakula ni beii rahisi, na watu waoo ni wakarimu sana!! Jitahidii upangiwe shule hizi zifuatayo ndio utapata hayo niliyokueleza apo juu.: Ushirombo Sec. Katente Sec. Businda Sec. Na Runzewe Sec. Mwalimu ukipangiwa shule tofauti na izoo. Jiandaee kisaikolojiaa ni pagumu sana.