Ajira za Ualimu 2015/2016 zinatoka lini?

Ajira za Ualimu 2015/2016 zinatoka lini?

Status
Not open for further replies.
Nchi inafahamika kuna mjin na vijijn kwahyo popote kambi kwangu mimi... Majina tu yatokeee
 
Haijalishi hata kama ni kjjni VP chamsingi watoe tuu hayo majina with wanashauku
 
Leo tbc katibu wa Tamisemi kasema yanatoka hivi karibuni
 
Kutokana serikali kuwa na mambo mengi kwa mwaka huu, na jinsi serikali ilivo na utaratbu wa kusogeza mwezi mmoja mbele kila mwaka zoezi la kuajiri walm, kunauwezekano Mkubwa ajira zkatoka mwezi wa 5 trh 1,

Ukianza kufatilia miaka ya nyma ajira zlikua znatoka mwez wa 7 mwaka huohuo wa kumalza mafunzo, mwaka 2010 waliajiri mwaka huohuo mwezi 10 trh 1, but kuanzia 2011 waliajir mwz wa 1, mwaka 2012 waliajir mwz wa pili, mwk 2013 mwz wa 3 trh 1, mwaka 2014 ambao na mm nlikuwa miongoni tulianza rasmi ajira mwez wa 4 trh 1, mwaka huu je?
 
alisema tbc kipindi gan na saa ngapi mkuu

Na mimi niliona ni kwenye taarifa ya habari, alikuwa akizungumzia mchakato wa daftar la wapiga kura na ndipo mwandishi akamchomekea swali kuwa walimu waliomaliza vyuo wanalalamika ajira hazitoki, ndo akasema tuwe na subira zitatolewa muda wowote
 
kassim majaliwaaaaaaaaaa

Kweli hali tete, hadi umejiquote mwenyewe?

Kama vipi mmoja ajinyongee, Serikali yetu inavyopenda matukio, Rais atakuja msibani halafu ajira zitatolewa asubuhi asubuhi...

Napendekeza chichimizi ajinyonge, kila MTU apendekeze jina la mtu anayemtakaa
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom