Recent content by Stanny

  1. S

    JamiiForums Tanzania Pole Chris Brown mwenzako nilichekwa-Ommy Dimpoz

    Yan ommy anamwita chris breezy mwenzake au nakosea ahahahahahahahaha
  2. S

    JamiiForums Tanzania Maswali 10 kwa Vodacom Tanzania!

    Hawa jamaa toka wameanza kujiita vodacom tanzania na kuchange logo kutoka blue kuwa red wamekuwa wapuuziiiiiii na huduma zao zimekuwa za kitapeli mpaka nashindwa kuwaelewaaa
  3. S

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Jembe hilooo
  4. S

    JamiiForums Tanzania Binti yangu kafikisha miaka 18

    kiukweli mwaka huu miss world TANZANIA lazima tupate division 5 Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
  5. S

    JamiiForums Tanzania Sinunui tena simu ya Huawei

    Nikisema umetoroka kuendelea na dozi pale milembe hospital ntakuwa cjakosea Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
  6. S

    JamiiForums Tanzania unampigia mke simu wako anapokea mwanume anajibu 'mwenye simu anaoga'

    May be mkeo ameamua kukufanyia utani kwa kupretend voice ya kidume positively thnkng itakusaidia kuepuk hilo janga aaaa Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
  7. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake safarini hawajui kukataa

    kama ni kukwepa gharam basi ikiwa safari ya mwanza unaanza kumtongoza ukikaribia nyegezi hapo utakuwa umeminimize cost Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
  8. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu anataka nifuge Rasta

    Mkuu mimi nakushauri anza kuvuta bangi na kuimba reggae hizo rasta zitakuja automatic na hapo utapendwa kam ex BF wake Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
  9. S

    JamiiForums Tanzania Video: Waafrika wapigwa kinyama India kwa ajili ya kutongoza Wahindi

    Daaaaaaaaaaa maskin utongoze ukataliwe na bado kichapo upokee Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
  10. S

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu: Tabia karithi kwa mama yake?

    Hiyo point dadangu umezungumza ukweli Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kipi kimekupita

    Mkuu umesahau kupoteza soksi moja afu iliyobaki unakata vipande viwili siku zinasonga aaaaaaaaa Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
  12. S

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Vibaya vibaya vibaya kweli kweli Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
  13. S

    JamiiForums Tanzania Edo Kumwembe azungumza na Mungu siku ya hukumu

    Uwezo wa jamaa kufikir ni mkubwa sana na alichoongea ni ukweli mtupu Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
  14. S

    JamiiForums Tanzania Elimu yetu ipo kibaguzi, direct entry ndio wamepewa nafasi zaidi vyuoni

    Ki ukweli hii kauli ya kuipeleka TCU mahakaman nimesikia kwako na mkuu ntapenda sana niwepo kuisikiliz hiyo kesi nina apa kwa jina la mwenyezimungu kama nisipo pata kabisa hata second BATCH, ntaenda nacte na TCU kuwaomba watimize wajibu wao, na kama ikiendelea hivyo, itanibidi nifanye kuona...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Nimepata Mgeni Analia Chakula Mkono Wa Kushoto

    Mawazo ya karne ya 19 yanakutawala karne ya 21 tafakari na uchukue hatua Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Back
Top Bottom