Binti yangu kafikisha miaka 18

Binti yangu kafikisha miaka 18

Please ukiipata hiyo anuani share with us,ila lundenga kasema juma4 atakua na press conference kuelezea hili suala,asipomvua taji lazima tutume ripoti miss world

Best uki google unapata link mwenyewe nitatuma kwakweli this time wamecha kachua mpaka kila mtu kajua kutuletea bibi bomba na kuacha wenye vigezo
 
Hahahaha ana miaka chini ya kumi nane ana miaka.....suguuuuu.....mtoto kazaa mtoto dah nna maugwadu mie hahahaha! Tz noumaaaaaa.....hivi mazee TI vipi keshatimba bongo ama?

ingia miss world contact utume malalamiko
 
Please ukiipata hiyo anuani share with us,ila lundenga kasema juma4 atakua na press conference kuelezea hili suala,asipomvua taji lazima tutume ripoti miss world

muombe mzalendo anayo link
ila just ingia google miss world contact
utapata
 
Huyu miss wa mwaka huu jumba bovu limemuangukia aisee!
Bora hata ingekuwa kashfa ni umri pekee, na mtoto tena ...kheeeh!!
 
Best uki google unapata link mwenyewe nitatuma kwakweli this time wamecha kachua mpaka kila mtu kajua kutuletea bibi bomba na kuacha wenye vigezo

Best ngoja nimpe last chance ya hiyo juma4 asiposema cha maana atakoma nakuambia,nitatuma mpaka wajiulize huyu ni nani mwenye uchungu hivi...
 
Best ngoja nimpe last chance ya hiyo juma4 asiposema cha maana atakoma nakuambia,nitatuma mpaka wajiulize huyu ni nani mwenye uchungu hivi...

Mwenyewe nasubiria kwa hamu afanye fair decision kulinda heshima ya mashindano la sivo lundenga hata pata wadhamini na shindano litakufa mazima
 
Mwenyewe nasubiria kwa hamu afanye fair decision kulinda heshima ya mashindano la sivo lundenga hata pata wadhamini na shindano litakufa mazima

Akimvua taji nitashangilia balaa,hope na wewe pia
 
Kitendo walichofanya kamati nzima ya Miss TZ kinowavua nguo na kuwafanya kuonekana hawako makini katika kuwafatilia warembo kama kuna info zozote ambazo zitakuja kuibua hali ya sintofahamu wakati wa mashindano au baada ya mashindano,Kitendo Cha Ajuza wa miaka zaidi ya 25 + watoto kushiriki miss kikanda kiwilaya mpaka kitaifa na kuchukua ushindi huku lundenga akibaki kimya ni kuiua tasnia ya urembo mazima,plz lundenga japo mshakula mil10 yake mtengueni huyo miss tz feki mumpe ushindi 1st Runner up.
 
Usijali mamii,namsubiria hiyo juma4 kama atafanya maamuzi magumu au lah

ukute wamekaa kimya wanatengeneza cheti bandia.lakini hata hivyo watashindwa.maanake wanaweza muharibia pia status yake USA migration. yaani safari hii lundenga kachemka.kwani haya mimi nasubiri hiyo conference hakuna cha maana natuma. miss world. tumechoka.yaani mtu akiwa na mtoto tu US likitokea tu tangazo kama BBA au umiss utashangaa anamleta mwanae ashindane hata kama alikua changua au kibaka.ndo maana lundenga alikua anashindwa kutangaza mshindi roho ilikua inamsuta kuwa anamtangaza bibi bomba.ngojea na
 
kiukweli mwaka huu miss world TANZANIA lazima tupate division 5

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Kumbe na wewe uliona eeh?alikua anajishtukia kama nini....asipomvua tu atakoma
 
Tunakoelekea jf itapigwa ban,ila ntalia sana.

Inaumbuaje watu.
 
Hivi mpaka leo hayo matokeo hayajabatilishwa tu?? Wizi wana ssm mmezoea. Mtemvu Abas Sitti!!! Aibu yako. Endeleeni kumpekua huyu jambazi.
 
jamani jamani jamani kweli hii ni aibu, hiyo picha alivalia kijani ndio akiwa na mimba sio?? tena kubwa tuu, aisee!! aibu ya karne.
 
kiukweli mwaka huu miss world TANZANIA lazima tupate division 5

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Mwaka huu Tanzania hatupeleki mtu miss world, hii aibu acha ibaki humu humu nchini
 
Back
Top Bottom